Nape kuwataja wanaoharibu CCM

Nape kuwataja wanaoharibu CCM

hajui wala nini. Nape acha kutisha watu. Ndo maana mukama alisema mtoto si riziki huyu hataki kuzingatia alichoambia. 'wewe si tulikuambia Usiende igunga " alipopuuza akakutana na baunsa mmoja

Mimi sichangii chochote maana watuhumiwa wamepelekwa mahakamani.
 
Orodha yangu ya wabomoa CCM ni kama ifuatavyo:
1. JK
2. Nape
3. Anna Makinda (Speaker)
4. Mawaziri wasiowajibika
5. Wakuu wa wilaya na mikoa
6. EL mzee Mamvi
7. Wilson Mukama
8. Mwigulu Nchemba

hii inaonyesha kuwa wote wasiotaka kutenda haki wanaibomoa ccm kwani wananchi tunapenda tuone haki ikitendeka. Mkitishia na kuua watu na kupakazia wengine tunaujua mchezo wote na sisi tunasema ninyo ndiyo mnaoua ccm
 
​safi sana anazamisha safina yao huyo kazi nzuri ya chadema inawanyima usingizi kwa kutafuta mchawi
 
atataja majina yote lakini la lowassa hawezi kulitaja...nape anamuogopa lowassa kuliko alivyokuwa anamuogopa baba yake..utaona hiyo list kama sio ya wenyeviti na makatibu wa ccm wa wilaya,kata na mshina..!!!
 
Mchawi mkubwa wa matatizo ya CCM na serikali yake ni Jakaya Mrisho Kiwete wengine wote wanafanya kwa maagizo yake au wanadhani ndivyo yeye anavyotaka. Otherwise asingekubali yafanyike wakati ana uwezo wa kuzuia. JK ndio kimeo sio Zoka, Kova, Mwema, Nape, Kudadadeki, Mnzinzi na muuwaji, Bi kiroboto, Ndugai, Ma-tomato, Mkama, Mabumba na wengineo. Kama kweli CCM wako serious na wanataka wasisambaratike wamwondoe JK kwenye uongozi wa Chama. Kwa upande mwingine, uwepo wake unawasaidia CDM na wananchi wengine tunaopenda mabadiliko.
 
I can't agree more!
 
Nasubiri miezi sita aliyowapa mafisadi iishe ndo nita comment
 
Nape anarusha ngumi gizani. Hana lolote. Kwa fikra za mtu wa kawaida tukama amefanya uchunguzi na kubaini hao wanaokitesa chama kilichobaki ni kuwataja tu; sasa anaogopa nini? Siku 90 mbona ziliisha hamna kinachoondelea?
Kila siku analeta single ambazo haziuziki
 
Baada ya kushindwa kazi ya kuvuana magamba sasa ameamua kujipa kazi rahisi ya kutaja wanaoharibu ccm. Kutaja tu si ataje? Na baada ya kutaja itakuwa imesaidia nini magamba?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom