Recent content by Maasai_

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wana jamvi namleta kwenu kamanda Esther Wasira; naomba tumpe ushirikiano

    cv please!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa CUF aiporomoshea CHADEMA matusi!

    sipendi cuf kwaajili ya uzanzibar na udini .Waziri gani unaandika matusi.......
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wassira awakana 'watoto wake' waliojiunga na CHADEMA...

    sio kosa lake tatizo ni usingizi
  4. M

    JamiiForums Tanzania CCM yamgwaya Mkono! Kamati ya Usalama na Maadili ya CCM yarudisha jina lake...

    magamba yanalindana
  5. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Mkapa alikuza uchumi, JK punguza matumizi

    Sina shida na lowassa kwa hilo , wanajeshi wenyewe wanalipwa pesa za bure kabisa hawana lolote wanalolifanya ,Vita hakuna kazi ni kunywa piwa, kuvuta bangi, na wanawake na kupiga wananchi pasipo sababu za msingi jana tumezika kijana aliye uliwa na wanajeshi kwa madai ya kuibiwa tv,deki na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Hoja ya Chadema kwamba ni chama cha kidini sio ukweli kabisa , tena hii propaganda magamba wanaitumia sana kudhoofisha chama , ukweli ni kwamba chadema inapendwa na wananchi wengi wa dini mbalimbali na rika mbalimbali basi CCM na yenyewe ya waislamu, mimi pia muislamu ila naipenda chadema
  7. M

    JamiiForums Tanzania Zitto na Wabunge, Zitto na CHADEMA, Zitto na Urais...

    naunga mkono hoja
  8. M

    JamiiForums Tanzania The Truth Behind The Scenes: Lowassa na Chadema!

    kwa evidence zipi ? Uraisi labda ajipe kura mwenyewe
  9. M

    JamiiForums Tanzania Madhara ya Bangi

    Kiswahili kigumu mkuu huoni we mwenyewe badala ya kutype mpaka umetype mbaka
  10. M

    JamiiForums Tanzania Madhara ya Bangi

    Naomba kufahamu madhara ya Bangi kwani wengine wanasema ni dawa na mi natumia
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

    inaonyesha ni mpigaji mzuri wa punyeto
  12. M

    JamiiForums Tanzania Someni taarifa ya Bernard Kamilius Membe

    hawa wazanzibar wana matatizo , tujitenge nao wasitusababishie matatizo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete, thibitisha au kanusha

    chadema wakichukua nchi 2015 tunawafungulia mashtaka kudadekiiii
  14. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yavuruga ngome ya Lowassa Monduli

    nguvu ya umma
  15. M

    JamiiForums Tanzania Waraka no. 1 wa mwaka 2012 wa Mbunge kwa Wananchi- “Ukweli ni Uhuru”- Mnyika

    nimeamini Mbunge mmoja wa Chadema skills zake ni sawa na wabunge 10 wa CCM
Back
Top Bottom