Zitto na Wabunge, Zitto na CHADEMA, Zitto na Urais...

ulisha enda mbozi ukaiona chadema ilivyojaa,tunduma, njombe,tarime,kagera,shinyanga,mwanza,manyara? Acha hizooooooooooooooo!

kuua makini sasa hiyo mjkoa 7 Ndio una watawala wa TZ..sijona Chadema Zanzibar au mikoa ya Kusin PWANI.NK bado hate wewe waonesha haujaipenda chadema bali wa mpenda mtu kwenye Chadema hapo Dar.. pia bado kuna mchananyiko mwingi 2 jipangeni kwanza mimi ningependekeza Chadema tengenezeni Wa Bunge wengi then ndio muende huko kwenye IKULU
 
su story ya zitto, jmeni mim nahuskaje wakati imeandikwa na mwandishi wa kigoma anaitwa kayanda? mim ni chief reporter wa mwananchi. sasa, turejee ktk professionalism, wanaoamua story itoke ni editorial meeting! na chief reporter haingi ktk kikao kama news editor yupo! sasa, mim naingiaje apo? lakn, naamin hyo ilikuwa story na jopo la wahariri halijakosea. story hapo ni kauli ya filikunjombe ktaka rais mpinzani na mdee n nassar kuonyesha hisia zao kwa mgombea wao ajae wakati chama hakijaanza mchakato! pil
 
Zitto ana overconfidence. Anamajivuno na kiburi cha kujiamini kuwa hakuna mwenye uwezo zaidi yake. Zitto hamkubali dk slaa kwani amefanya yy aonekane si lolote ndani ya cdm. Anapenda kumpinga dk slaa kwa namna ambavyo wengi hawaelewi lakini busara za dk slaa ndo zinazima mtafaruku. Kiukweli Zitto nimleta fujo na anatamaa ya madaraka. Ikulu hakukimbiliwi kaka.
Hapo kwenye bluu, kama ni kweli, na kwa kiasi fulani naamini ni kweli,"ANAJIDANGANYA" tunamajembe mengi mjengoni. Mnyika, Tundu Lisu, Wenje, Msigwa, Mdee n.k.
Hapo kwenye red ndio haswaaa! tatizo lake lilipo. Hongera DR Slaa kwa busara yako ya kukaa kimya bila kujibizana na hawa ambao tunaanza kuhisi kuwa ni mamuluki.
Mh Zito. tulia fanya kazi ya kukijenga chama kwasasa. ACHA KUTAFUTA UMAARUFU BINAFSI chama kwanza.
 
waambie kiongozi walimchagua kikwete kwasababu ya udini ona sasa je ni wakristo pekee wanaopata tabu au na wao sote tunateseka?

Wewe unaeongea Udini Umefilisika kisiasa tuongelee Mada yetu ya ZITTO..WA KABWE hapa kwani NYERERE alichaguliwa kwa Udini??
 
zitto huwezi kuwa maarufu kuliko chama, kama unataka kugombea urais subiri mchakato time ikifika! kumbuka kumbikumbi akikaribia kufa huotesha mabawa,ili aruke mbali ambapo huishia kuonwa na mijusi na kuliwa
 
Umeeleweka Simbachawene!!umepata Azam leo?

Zitto Shika hapohapo usichie hao wenzio hawaju waendako kwahiyo washike MASIKIOA WAELEWE kule CCM kulikua na makundi zaidi ya 6 'ndani ya chama walitaka URAIS 2010 lakini bahada ya hapo wamerudi wamekua pamoja sasa nyie mwaogopa nini ZITTO kuzungumza wazi URAIS???maana hamjiamini ?? ndio pale nawshauli jipangeni kwenye UBUNGE kwaza hayo maneno hata NYERERE alimwambia MREMA huo ndio ukweli halisi wa TZ..
 
li, kuhusu zitto kunitmia, jamen ndo mana nasema hawa watu wanaonijadili hawanijui. mim siwez ktmiwa na zitto! zitto akiwa na story yenye vigezo naweza muandika hata mara mia. ktk hlo siyumbi mim ni journalist. tatu, jamani, rejeeni maktaba muangalie story za epa. nilikuwa bega kwa bega na dk slaa tngu alipolipua bungeni n uraiani, hadi ernst n young na hadi balali anafukuzwa! cjui dk slaa aliwah kunipa sh ngap mana nimemuandika kuliko zitto! mim sinunuliki, nina msimamo na ni mwanamapinduzi wa kweli. kuh
 
kuua makini sasa hiyo mjkoa 7 Ndio una watawala wa TZ..sijona Chadema Zanzibar au mikoa ya Kusin PWANI.NK bado hate wewe waonesha haujaipenda chadema bali wa mpenda mtu kwenye Chadema hapo Dar.. pia bado kuna mchananyiko mwingi 2 jipangeni kwanza mimi ningependekeza Chadema tengenezeni Wa Bunge wengi then ndio muende huko kwenye IKULU

Mtumwa mzuri ni yule anayesema kwamba yeye si mtumwa !
Wewe ni mtumwa mzuri, maana mpaka leo bado unaamini kuwa Ikulu ni ya watu fulani.
Pia hukubali kuwa wewe ni mtumwa, na hivyo haupo tayari kujikomboa !
 
Ril nasupport maneno yako, namuogopa sana huyu zito,
naamini ccm washaona 2015 hawatamuweza dr salaa wa ukweli na chadema sasa hizi chokochoko za zito nachelea kuamini kuwa kuna msukumo wa ccm ili kukigawa chama cha cdm. Ril zito lazima hashike adabu yake,
 
sijawahi kumwamini mh.zitto hasa pale anapojifanya yeye ni kila kitu,amekuwa akienda tofauti na wenzake ktk chama,amekuwa na sura mbili ktk maisha yake,haaminiki,ni selfish,anataka madaraka kwa nguvu na kwa hulka zake highest post haimfai,uvumilivu hakuna na sio diplomatic one.akue kwanza ndipo ataona yeye angefaa wapi vnginevyo anapoteza hata sifa ndogo alokwishapata.
 
Zitto asubiri uwaziri kwa 2015, Sasahivi ajikite kwenye kujenga chama. Uraisi anafaa lakini iwe baadae. Akiendeleza hizo tabia zake hata uwaziri ataukosa.
 
Zitto possess one outstanding talent, he never miss an opportunity to create some individual media attention.

Its true, but now its too much... Its just that inakera sana though haweziyumbisha CDM na natamani aende hukohuko gamban as wanam'feel sana.
 
Zitto ana overconfidence. Anamajivuno na kiburi cha kujiamini kuwa hakuna mwenye uwezo zaidi yake. Zitto hamkubali dk slaa kwani amefanya yy aonekane si lolote ndani ya cdm. Anapenda kumpinga dk slaa kwa namna ambavyo wengi hawaelewi lakini busara za dk slaa ndo zinazima mtafaruku. Kiukweli Zitto nimleta fujo na anatamaa ya madaraka. Ikulu hakukimbiliwi kaka.

Unadhani bila Dokta ccm wangeiogopa cdm kihivyo. Anayeogopwa na ccm kiukweli ni Dr coz cdm ilikuwepo siku zote walakini ccm ilikuwa inamwogopa Mrema wa tlp.
 
MODS Msaidieni Semtawa aanzishe thread ya kujitetea maana kama ni yeye kweli hatuna waandishi! anaunga maneno utafikiri hakufundishwa lugha shule ya msingi!
 
Nimekuwa nikifuatilia kwenye Blogs mbalimbali,Facebook,Twitter na humu JF. Nashangaa watu tunavyopoteza nguvu kujadili hesabu za 2X2-4??
Sina nia ya kuwafunga midomo ila nataka tuongee ukweli.. Kama ni 'Kugombea Urais' mbona alishatangaza John Maghale Shibuda na upepo ukapita?.. Tumezoea watu wakiichezea nafasi ya Urais kwa kuwa hawaelewi uzito wake. Wanadhani Urais ni Ukatibu Kata au Udiwani. Nadhani kama Taifa tuna vitu vingi vya kujadili badala ya kupoteza muda wetu kwenye haya masuala ambayo kwanza hatuijui kesho yetu. Mwisho tukumbuke nia ya CCM ni kuibua "NEWS ALERT" nyingi zisizo na maana ili kufunika scandal zake kama Movie ya Dr.Ulimboka, Bomu la NSSF, na Kifo cha CCM.

Nawasilisha.
 
Zito ni muislamu, hatufai ndani ya CHAMA ni bora
aondolewe mbona kuna wachungaji wengi wazuri tu
wanaweza kuchukua nafasi yake. Hivi hamuoni kuwa
waislamu waklishika nchi inaenda vibaya?
 
Back
Top Bottom