Wassira awakana 'watoto wake' waliojiunga na CHADEMA...

Njaa mbaya sana yote hii kuwakataa watoto wa kaka yake ni sababu ya kuganga njaa!! Mkumbuke huyu waziri alikuwa bench, akiuza samaki pale Namanga na kuwa na madeni lukuki mpaka pale mkweree alipompa ULAJI HIVYO ANALINDA ULAJI HUO KWA GHARAMA YEYOTE ILE ikiwemo hata kuwasaliti nduguze wadamu!! Hao ndio magamba hawaoni zaidi ya urefu wa pua ; leo hii akitoswa ccm kama alivyotioswa kwenye vyama vingine atabakia na nduguze peke yao na hao magamba hata waona kokote awaulize wenzie wakina Kiula!!!
 
Kwa kuwa hao watoto wamejiunga na Chadema (kitendo ambacho hakika hakiwezi kumpendeza Wassira) ndio maana amewakana kuwa si watoto wake wa kuzaa bali wa kaka yake. Je ingekuwa vipi kama hao watoto wangekuwa wamefanya jambo la kumpendeza mfano wamekula nondo ya udaktari (na kisha ikatangazwa watoto wa wassira wala nondo ya udaktari marekani) naye angesema hao si watoto wake bali ni wa kaka yake?
 
Mzee Wasira.

waandishi wenu huko waliwatumia watoto hao ili wasafiria nyota yako.

Watoto wako wanajulikana akina Kambarage ambao mama yao ni Rose.

Shukrani kwa ufafanuzi.

teh teh mzee wa ilimu ya nyota?Lini mtakwenda space kwa hii ilim?
 
Nilitaka kushangaa kwa sura yake wale mabinti wanaotizamika kawapata wapi?
 
Jifunze kiswahili ahali yangu na sio kukurupuka.

Pole sana.
hiki ulichoandika ni kiswahili fasaha?By the way nilianidka hivyo maksudi kabisa.Pole Barubaru, kwa jinsi unapenda mambo ya nyota yenye misingi ya kishirikina, najiuliza kama walianza babu wa babu zako,mbona hadi leo hamjarusha rocket kwenda space?
 
Hapa mnaojadili ujinga mtupu unaotokana na ushabiki. Dr Slaa. Akiwa na nia mbaya alitaka watanzania waamini kwamba hata watoto aw kuzaliwa Stephen Wasira wamehitilafiana kisiasa na baba Yao mzazi na kukimbilia Chadema. Wasira ambae amejipambanua kuwa mpinzani mkubwa wa Chadema , dr Slaa alitaka political mileage kwamba amebomoa mpaka nuclea family ya Waziri Wasira. Ilikuwa lazima Jamii ijue ukweli. Wasira hakuwakana bali kuwekaka wazi uhusiano wake na hao mabinti. Kusema kuwa hao ni watoto wa kaka yake siyo kuwakana, Bali ni kuelewa ukweli usiokuwa unapindishwa na Dr Slaa Mzee wa matukio kwa nia ya kumdhalilisha Wasira kisiasa. Nae Wasira katika kumuumbua Dr Slaa na uongo wake ameweka wazi kuwa hao ni watoto aw kaka yake na kwamba yeye Hana uwezo wala wajibu aw kuwachagulia Chama. Na kusema huo ukweli amewakana VIPI .
 
Wale "waliokuwa" Madiwani waliofukuzwa na CDM uanachama na kushindwa kesi magakamani, mmoja wao (ambaye baada ya kufukuzwa CDM, hana chama) amejiunga na FUC jana, gazeti la Uharo linaandika habari na kuipa kichwa eti "Diwani wa CDM" atimkia CUF! Wana akili hawa kweli! Yeye Wasira hawa ni damu yake leo anawakana, lakini mtu aliyefukuzwa na CDM anataka tumtambue kama mwana CDM!

Kwa fikra za CCM aliyefukuzwa bado ni mwanachama.Si ajabu wakarudi na wazo kuwa Wassira ni wa NCCR hadi leo?
 
Watoto wa Wassira waliojiunga na CDM hawana njaa kama baadhi ya wanaJF mnavyotaka isomeke na hawajasema wamejiunga ili kupata maslahi wala vyeo. Utashi wao na uwezo wao binafsi wa kutambua mambo na utashi wa kusimamia ukweli ndio umewafanya wajiunge na CDM na wakiweka historia sawa baba yao mzazi ni kati wa waanzilishi wa CDM.

Nia aibu sana kwa Steven Wasira kuwakana watoto wake kwa kakaye eti kwa maslahi ya kisiasa. Hii kasumba ya kufikiri kila kitu ni mitego ndio maisha ya wana CCM na viongozi wake. Ukiangalia safu nzima ya uongozi wa CCM ni wazee wasio na uwezo tena hata ya kuheshimu uhuru mtu pamoja na familia zao wenyewe.

Maneno aliyosema Steven Wasira kuhusu watoto wale ni ya kusikitisha sana na kufedhehesha, eti wamepewa kadi 'vyumbani' alichomaanisha anajua mwenyewe, sasa ukiwa na akili kidogo sana unajiuliza je wapiga picha walikuwa wapi pale ni ofisini halafu ili kujua haheshimu ndugu zake akijua kabisa wale ni watu wazima wenye famila zinazowaheshimu na kweli watoto wa kaka yake ni watoto wake akiwa na akili timamu kaamua kutumia maneno ya fedha na hadaa je kwa watanzania itakuwaje??

Imeandikwa siku za mwisho baba na mwana watagombana na kweli siku za mwisho wa CCM tunaona anguko kuu kwani wenye busara wote wanaisha na sasa wanabakia kina wasira wanaoishi kwa pumzi ya mkulu kwani ni wanamtandao.

Masikitiko makubwa sana ni pamoja na lulala kwake kuropoka kutukana kama Lusinde bado anakula na kunywa fedha za walipa kodi anaowatukana na kuwafedhesha.

Miiako, maadili, na matendo ya viongozi hasa pale wanapotumia lugha za kudhalilisha mwanamke , watoto na jamii kwa ujumla iwekwe kwenye katiba mpya ili kuhakikisha maneno ya kina Steven wasira, Lusinde, na wengine wengi yanakuwa na adhabu ya kujiuzulu pale yanapothibitika.
Mlipa kodi lazima aheshimeke kama mwajiriwa anavyomheshimu mwajiri.

Chief Mkwawa wa kalenga
Machungwa yaliooza lazima yatupwe yasija ozesha mazima
 
[h=2]Karibuni Chadema....[/h]
User Rating:
rating_star.png
rating_star.png
rating_star.png
rating_star_blank.png
rating_star_blank.png
/ 2

DetailsCreated on Sunday, 30 September 2012 10:28Hits: 182
000000000wassiraduaghters.jpg















Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa, akiwakabidhi kadi ya uwanachama wa chama hicho kwa Lilian Wassira na ndugu yake Esther, baada kujiunga na chama hicho. Lilian na Esther ni watoto wa George Wassira Kaka wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano) Stephen Wassira. Picha na Michael Matemanga

Habari hapo juu ni kutoka gazeti la Mwananchi. Je wapi ilisemwa ni wa kuwazaa???
 
siasa inapotaka kuvunja undugu!
Leo hii huyo george wassira akifariki kina ester watakimbilia kwa nani kama baba 'wassira' anawakana?

Wakimbilie kwa wassira?Wakati akiwaona naona ngono tuu..Huoni katika picture slaa hata hakuwaangalia zaidi ya kuwapa kadi akingalia mkono unaopokea ila Wassira akaanza ia kuwa Slaa anataka vunja ndoa?Huyu mzee atakuwa pedophile .Na sexy-mania hawezi kuw akimbilio la mwanamke yeyote.na jinis kichwa inavyozidi zeeka anaweza fikiri kwa vile haoni mbali wala kusikia vizuri basi watu nao wapo mbali na hawamuoni.
 
Magamba bana,

Hii kitu ilianza kwa Vincent Nyerere pale ambapo Mkapa aligeuka kua msemaji wa Familia ya Nyerere na kukana katukatu kutomjua wala kumsikia Vincent.

Kama sio kina Makongoro kuingilia kati kumuokoa ndugu yao Mkapa aloshawaingiza watu Choo cha Kike.
 
Back
Top Bottom