Recent content by Maamuma

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Numbisa please come back.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Anachokozwa mtu. Log Z amemiss mapovu, lol!
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wife material yupo hivi

    Siyo alimuacha bali ni alimwacha.
  4. M

    JamiiForums Tanzania je ni kweli?

    Labda tupewe mifano, watu na mama zao.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ifahamu kanuni hii itumiwayo na ubongo wako

    Asante sana mkuu The Certified. Mungu akubariki na akuwezeshe kutupa elimu zaidi na zaidi.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    No, usiache please. Japokuwa hii subject imeshapita, nimeona niongeze msisitizo ili mkuu Numbisa uone jinsi wengi tunavyoikubali huduma yako. Asante na ubarikiwe.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Mkuu Numbisa nimekukubali! Asante sana kwa updates.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuna familia zina laana ya asili

    Asante sana mshana jr kwa kuleta mada hii. Shukrani pia kwa wote walioshiriki kutoa michango yao hapa. Nimepitia uzi wote, mwanzo hadi mwisho. Nimejifunza kitu kikubwa sana. Mungu awabariki wote waliotoa ushauri na ushuhuda pia. Idumu JF.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum kwa wanaouza na wanaohitaji kununua Ardhi

    Bei gani?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Je, sheria inasema ni lazima uoneshe 'Lena' unapoenda kurenew Leseni ya udereva?

    Mkuu Mvumbo jibu hilo swali kwanza.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nikaishi wapi ili nijihusishe na maswala ya kilimo na ufugaji?

    Natamani kupata shamba Mtwara (kwa ajili ya kilimo na kufuga). Mwenye ufahamu na upatikanaji wa mashamba Mtwara atuwekee taarifa hapa. Asante.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nimepata majanga, nauza godoro la Tanfoam premium kwa bei ya hasara, ni jipya

    Hasara kwa mnunuzi. hahahaaa.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kauli zilizotoweka tangu Magufuli aingie madarakani

    kwani shing'ngapi?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nyumbani kuzuri Daima, Narudi kwetu Kigoma

    Huyu wa Nyumbigwa.
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Please! Adhere the below message!

    Amen. Asante elijahmasunga kwa kutukumbusha.
Back
Top Bottom