Uzi Maalum kwa wanaouza na wanaohitaji kununua Ardhi

Mr. JF

Member
Dec 14, 2015
79
107
Hii ni thread maalum kwa wadau wote wanaouza maeneo sehemu mbali mbali hapa Tanzania, na pia kwa wadau wote wanaohitaji kununua maeneo.. [HASHTAG]#SellersMeetBuyers[/HASHTAG]

Kama unauza eneo lako tiririka mama ifuatavyo:
  • Ukubwa wa eneo hilo
  • Mahali eneo hilo lilipo
  • Sifa za eneo hilo (Limepimwa au Halijapimwa)
  • Bei ya eneo hilo
Na kwa anayehitaji kununua pia atoe maelezo yake.
Karibuni
 
Nina itaj kiwanja nje ya dar pwani au moro
20×20 kilicho au kutopimwa
Sh 1mil
 
Nina eneo lenye ukubwa ekari 6,kiwanja hicho kipo Kigamboni muhimbili ....
Kiwanja hicho Kina angalia barabara....kwa akataye hitaji tunawrza wasiliana na kuhusu bei tukazungumza pia

Ova
 
Nahitaji eneo ambalo limepimwa ndani ya wilaya za Kinondoni au Ubungo. Lisiwe mbali na barabara ya lami na pia pawe na maji ya dawasco! comment details zake hapa chini!
 
Shamba / Enao linauzwa Heka moja,
lipo Vigama Kisarawe,
halijapimwa,
Linauzwa Tshs 8,000,000/=
Ni Mp tuongee......!!!!
 
Kiwanja kinauzwa Dodoma eneo la ilazo west karibu na martin luther school kina ukubwa wa 20 mx30m kimepimwa kina offer na kimelipiwa mpaka june 2017 kiko katikati ya nyumba zilizojengwa tayari kinapakana na soko linalotazamiwa kujengwa la Ilazo west. Anayehitaji anipm. Kiwanja ni mali yangu mwenyewe.
 
Bei gani?
 
Kiwanja 20×20 Mabwe pande karibu na mradi wa nyumba za serikal. Mil3.5 maongez yapo hakijapimwa, kinatambulika na serikali ya kijiji.
 
Kiwanja kinauzwa Dodoma eneo la ilazo west karibu na martin luther school kina ukubwa wa 20 mx30m kimepimwa kina offer na kimelipiwa mpaka june 2017 kiko katikati ya nyumba zilizojengwa tayari kinapakana na soko linalotazamiwa kujengwa la Ilazo west. Anayehitaji anipm. Kiwanja ni mali yangu mwenyewe.
Taja bei ndugu
 
Amani kwenu wadau,

Viwanja vya makazi vyenye ukubwa wa M.40x30 vinauzwa maeneo ya Kibaha Kwa Mfipa - Simbani, karibu na kituo cha kulelea watoto yatima cha mama Anna Mkapa.

Ni eneo zuri kwa ujenzi wa makazi na ni tambarare halihitaji kuchongwa, na pia barabara ya kuingia kwenye kila kiwanja inapatikana, umeme na maji vipo jirani.

Umbali kutoka kwenye barabara kuu iendayo Morogoro ni km 3. Bei kwa kila kiwanja chenye ukubwa wa M. 40 x 30 ni milioni 7 maongezi yapo kwa anayehitaji punguzo.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na namba hizi: 0766 621600, 0625 918961

Karibuni sana.
 
Aina ya property : Kiwanja/Plot
Mkoa kilipo : Morogoro
Eneo : Kilimanjaro
Ukubwa : 1,800 sq.m Low Density
Sifa za eneo : Kimepimwa, Kina offer halali, na mimi ndiye mmiliki
Bei : Milioni 13.
Mawasiliano : PM
Sifa nyinginezo : Kipo kwenye kona, nyumba nyingi zimejengwa maeneo hayo, Ni sehemu nzuri na salama kwa makazi, Umeme na maji upo.

KARIBUNI SANA KWA MWENYE UHITAJI.
 
Hii ni thread maalum kwa wadau wote wanaouza maeneo sehemu mbali mbali hapa Tanzania, na pia kwa wadau wote wanaohitaji kununua maeneo.. [HASHTAG]#SellersMeetsBuyers[/HASHTAG]
Kama unauza eneo lako tiririka mama ifuatavyo:
  • Ukubwa wa eneo hilo
  • Mahali eneo hilo lilipo
  • Sifa za eneo hilo (Limepimwa au Halijapimwa)
  • Bei ya eneo hilo
Na kwa anayehitaji kununua pia atoe maelezo yake.
Karibuni
Muongozo hapa juu unasema mtu ataje Bei,
Madalali wanakuambia Bei uende PM (Ili wakakupige vizuri)
 
Kiwanja kinauzwa Dodoma eneo la ilazo west karibu na martin luther school kina ukubwa wa 20 mx30m kimepimwa kina offer na kimelipiwa mpaka june 2017 kiko katikati ya nyumba zilizojengwa tayari kinapakana na soko linalotazamiwa kujengwa la Ilazo west. Anayehitaji anipm. Kiwanja ni mali yangu mwenyewe.
Weka bei
 
Back
Top Bottom