Sawa mimi nina mpangilio kila wiki lazima ninunue kitu cha muhimu,nikianza viatu,viatu tu may be mwezi mzima kila wiki nitatenga 8000,au ata vya kukopa 10000,lakini hapo nitafanya na badget zingin ambazo naona nazihitaji in that time.mi mwanamke unajua lazima nitakuwa na basic needs nyingi na...