Nsam
JF-Expert Member
- Oct 25, 2018
- 212
- 290
- Thread starter
- #21
Aise wakuu nimeuliza si kwamba nachagua elimu najaribu kudadavua peke yangu nam nipate mtaazamo wa dunian
Kila anayeomba ushauri tunapaswa kumpa ushauri
Katika suala la mke mama aliniambia kuwa makini sikuchagulii mke bal nakuombea
Yeyote utakayemleta sitampinga ila uwe umempenda
Hvo na mm katika kuchagua nimekutana na degree akili hakuna anakuja geto hata kupika hatak
Nimekutana na form four ana kibur kwel kwel kutokana na maumbile yake anayaringia
Nimekutana na la saba ana uelewe ila bado sijampokea
Sasa je yup n yup mbona mama yangu ameishia la saba ila akil anayo timamu sana
Kanilea mm had dgree nikaipata
Japo bibi ananiambia tafuta mwenye kazi nam sipo sambamba na bibi
Maaan for four nilimuambia fanya biashara hiii ya kuuza duka aliniambia hawez kuuza duka nikapiga chini!
Ila huyu la saba hata kuuza samak njian yupo tayar