- Thread starter
- #41
Mmh ujaelew not everyweek nanunua pafyum viatu ndo ninavyonunua most of the time,viatu vya 8000 quality n ndogo siku mbili tu vimekatika kama sio kuisha kabisa.We nae acha uongo. Kila week unanunua perfyume, lotion, viatu. Kwanini watz mnakuwa waongo waongo.
Kama unasoma bachelor miaka 3, utamaliza chuo ukiwa na pairs 96 za viatu. Ukiuza hizo pairs zote kwa 3000 kila pair utakuwa na 288,000 pesa ya kuanzia kulipia kodi ya chumba cha biashara
oke Una plan n biashara Gan pia uko mkoa Gan Kama uko dar njoo dm
