Vijana wenzangu, nani aliwaambia kunyonyana ndio mapenzi?

TRUE STORY:

Kuna mtu namfahamu wanabodi mpaka leo hii navyoandika hapa haoni vizuri,alimnyonya demu mmoja na alipokuwa ana-climax kuna vimaji viliruka nje vikamuingia machoni jamaa aliwashwa sana macho ikabidi aamue kwenda hospitali baada ya kuona haoni vizuri,amepewa dawa anatumia ingawa hajamueleza doctor wake kilichomsibu,so be careful ukiona mpenzi/mke wako anakaribia ku-climax fumba macho yako kwa usalama zaidi unaweza ukapofuka macho

wazama chumvini mjue hili.
Mwanamke alikuwa na syphilis hivyo Yale maji kurukia usoni Basi balaa likaanzia hapo. That's why syphilis sugu kwa mwanamke mja mzito husababisha mtoto kuzaliwa kipofu
 
Hii tabia ya kuiga kila kitu mkuu inawapeleka pabaya wengine , inafikia kipindi wakati wewe unalamba na yeye atakuwa anakulamba au kuingiza kidole sehemu ya haja kubwa hii ndio hupelekea wengine wanakuwa mashoga kwa kuwa kila kitu wanataka kujaribu au kuombwa kufanya.

Huu usemi usichukuliwe vibaya, ukaleta madhara
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Ngoja umuowe boss usimalize maneno bado anawakati mwingi wa kujifunza na kujua mapenzi binadamu tunabadilika kulingana na jamii tunayokutana nayo katikati ya maisha kwaiyo tulia boss siku akishakuwa mke mtazoeana na siku akipata kichaa ambaye atamchatisha utopolo Hadi K ikalowa juwa ndyo hapo utamjua vizuri
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
TRUE STORY:

Kuna mtu namfahamu wanabodi mpaka leo hii navyoandika hapa haoni vizuri,alimnyonya demu mmoja na alipokuwa ana-climax kuna vimaji viliruka nje vikamuingia machoni jamaa aliwashwa sana macho ikabidi aamue kwenda hospitali baada ya kuona haoni vizuri,amepewa dawa anatumia ingawa hajamueleza doctor wake kilichomsibu,so be careful ukiona mpenzi/mke wako anakaribia ku-climax fumba macho yako kwa usalama zaidi unaweza ukapofuka macho

wazama chumvini mjue hili.
zile chumvi za kule zime mbabua lenzi ya macho πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
daah huyo apewe tuzo ya unyonyaji papuchi nchini
 
Mkuu huko mnakoita Chumvini ni sehemu yenye wadudu wengi sana kuanzia fungus, Herpes, bacteria n.k hivyo iwapo una hali mbaya mdomoni unaweza kupata fungus au vimelea wengine kutoka huko na kwa njia ya fecal oral route namaanisha baada ya kuingia chumvini ukashindwa kujisafisha vizuri mikono na mwili wako unaweza kupeleka maambukizi katika kinywa,na kama ukiwa vidonda kinywani au utando wowote habari itakuwa mbaya zaidi

Mwisho Chumvini si mahali pa salama kabisa na hapakuumbwa kwa kazi hiyo.

Jitahidi kutumia viunga vya mwili kadri Mungu anavyotaka uvitumie
Shukrani
all in all. .wanyonya papuchi na sisi tusionyonya wote tutakufa tu

iwe hatunyonyi au tuna nyonya mr kifo ana tusubiri
so acha tu watu wa_enejoy maisha yao.. wew wadhani wakifa watakwenda. kuhadithiana nini huko kuzimu?
 
Wala sijawahi kumwambia hilo swala kwamba sipendi...hebu soma vizuri
Mmh unaogop kufa kwa maradhi ya fangasi kufa kupo tu siku yako ikifika imefika Fanya starehe uwezavyo.utafanya usafi kwenye kugegedana siku unakufa kwa ajali aliyekuwa analamba koni unamwacha duniani.mapenzi ni uchafu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom