No ata hawanichukii Mimi tuNao wao wanakuchukia hivyo hivyo
Njoo nikupe ukweliAcha uongo.
Kwa nn umchukie mtu? Hilo ni tatizo piaSielewi nina matatizo gani,katika watu wawili naweza mchukia mmoja mwingine nikampenda sana,kuna kipindi nilipanga sehemu nyumba tulokuwa tunaishi tulipanga wapangaji wanne niliwachukia wawili mmoja nikampenda sana.
Lkini hawa wawili niliwachukia kutokana na kutofanya vile ninavyotaka Mimi usafi hawafanyi binti yangu tu ndo ashughulike na kudeki choo,kudeki jiko na kufagia kila siku hao wapangaji wengine ni kujiandaa tu na kwenda kazini wakati jiko tunashare,choo tunashare etc.
Lakini sio hapo tu nikiishi kwenye jamii huwa Nina mtindo wa kuchukia wengine na wengine kuwapenda zaidi, hao ninaowachukia wanaweza kuwa hawajanikosea Ila najikuta kutopenda kuongea nao, wala kuwahusisha chochote juu ya maisha yangu ata niwe na shida gani, hapa ninavyokuambia nimetokea kuwachukia watoto wa baba angu kwa mama mwingine yani sihitaji niwatafute na sitaki wanitafute ila wao wanamdharau mama hawajishughulishi kabisa kuhusu mama angu wakipata kitu wanampa baba tu kitu ambacho kinaniumiza wakati mama angu amewalea tangu wakiwa wadogo
Kutokana na kutomheshimu mama na Mimi nimeona niwashit kwan mtoto wa baba anaweza asiwe ndugu yako labda alizingiziwa tu.
Ila nilichogundua pia wengine nakuwa siendani nao tabia kwaiyo nakuwa nawachukia tu na uwa naonyesha chuki zangu kwa kukaa kimya bila kuongea kabisa,na ata wakiniuliza kitu najibu kwa hasira na majibu ya mikato.
Mfano kuna mtu naishi nae ni mchoyo ivyo kuna mda najikuta namchukia naweza kaa kimya kutwa nzima nisiongee nikafanya mambo yangu tu.
Hivi imagine changu anaazimisha chake anasema ataki kuazimisha kitaaribika.
Ana kazi ya kuazimisha vitu vyangu nikiwa sipo wakati na yeye anavyo ivyo ivyo.
Unajua kwanini Mungu ametuhasa sisi wanaume tuishi na nyie kwa akili? Moja ya sababu ndio hizi .. wala usijishangae ndivyo mlivyo!Sielewi nina matatizo gani,katika watu wawili naweza mchukia mmoja mwingine nikampenda sana,kuna kipindi nilipanga sehemu nyumba tulokuwa tunaishi tulipanga wapangaji wanne niliwachukia wawili mmoja nikampenda sana.