Recent content by M2mish

  1. M2mish

    JamiiForums Tanzania Sehemu gani ya kuangalia Cinema Mbeya?!

    Mbeya ni jiji la wachapa kazi na si wavivu kama nyie kutwa kwenye masinema mnaacha kuwajibika ukija huku fuata kilichokuleta uondoke zako usije tuambukiza uvivu wako ..
  2. M2mish

    JamiiForums Tanzania CAG: Watu wawili waliingiza magari 238 na walipewa msamaha wa kodi wa 3.5bn

    dan....t e labda . nimtazamo tu .!
  3. M2mish

    JamiiForums Tanzania Uwapo mjini Bariadi...unakaribishwa sana

    Duuh Ngabuuuu umeamua kujitangazaaaaa mwenyeweee saafi saana umesikika..
  4. M2mish

    JamiiForums Tanzania Wale waishio mikoa ya nyanda za juu kusini, tufahamiane hapa

    wale wa Nzovwe mbembela mpe hi chisachene (fundi)
  5. M2mish

    JamiiForums Tanzania Cheti Kimeungua

    mimi napita tu huenda siielewi lugha adhimu iliyotumika hapo..
  6. M2mish

    JamiiForums Tanzania Wale waishio mikoa ya nyanda za juu kusini, tufahamiane hapa

    Umalilaaa imoooooo
  7. M2mish

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Rais Joseph Kabila (wa DRC) kwa Kiswahili safi na sanifu

    Rais J.Kabila amesoma hapa Tanzania katika shule moja ya misheni inaitwa Irambo sekondari iliyoko Mbeya vijijini na amepata mafunzo ya jeshi la kujenga taifa dodoma (makutupora ) hivyo kiswahili kwake ni lugha anayo ifahamu vilivyo.
  8. M2mish

    JamiiForums Tanzania Hali halisi mtaani kwetu na hapa ni ofisi ya mtaa

    Sintofahamu hii imejitokeza mapema asubuhi mtaani kwetu mtaa wa Ndanyela kata ya Nzovwe jijini Mbeya. Wananchi wameamua kwa umoja wao kuhifadhi taka kwenye ofisi hiyo baada ya kero yao ya kujengewa ghuba la kuhifadhia taka kugonga mwamba. Hata hivyo jitihada za kumpata Afisa mtendaji...
  9. M2mish

    JamiiForums Tanzania Fasheni ya Mwendokasi.

    Duuh.!!!
  10. M2mish

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mme

    Mimi nipo tayari uni pm tupeane contact
  11. M2mish

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume jamani mbona sipati

    Tvybgb
  12. M2mish

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ishitakiwe na jeshi la polisi kwa usumbufu

    Ukisikia uchochezi huu sasa ndio uchochezi dhidi ya polisi na chadema.
  13. M2mish

    JamiiForums Tanzania Nane Nane Mkoa wa Ruvuma

    inafanyika katika viwanja vya MWAKANGALE mbeya.
  14. M2mish

    JamiiForums Tanzania Mochwari ya Muhimbili wanamjaribu Rais Magufuli?

    mtoa maada hyo majungu sasa na hzo taarifa ni zakupikwa kwani wwe hujui kutochukua risit kwa huduma uliyo pewa ni kosa kisheria na ukatoka ukiwa umeridhika unakuja huku ili iweje ikiwa wwe hukutaka kuchukua risiti ?
  15. M2mish

    JamiiForums Tanzania Mwalimu aliyetuhumiwa kufanya mapenzi na wanafunzi auawa na wananchi

    wanyantuzu wa bariadi xio kabisa r .i .p ticha
Back
Top Bottom