Cheti Kimeungua

NDESSA

JF-Expert Member
May 2, 2013
1,946
1,795
FB_IMG_1491038337612.jpg
 
Please mtuache tusife kwa kucheka. Wenzenu tu wapweke hii ni changamoto humu majumbani. Thanks mzee yupo kunishika utumbo.
 
cheti kikiungua ukatoa taarifa polisi, infernal report inatosha kukupatia kingine, hakuna haja ya kutangaza magazetini
 
Kulingana na mwaka cheti kilipotolewa lazima huyu atakuwa mtu mzima kidogo na'siajabu akawa mkuu wa kitengo fulani sirikalini so amejitafutia kinga mapema baada ya kuona chokochoko zimezidi...sijui kwanini bashite hakutumia trick hii kelele zote zile zisingesikika!
 
  • Thanks
Reactions: ydn

Tatizo la Mako record hakuna kule Baraza, bado ingekua utata.
 
Sasa kama cheti kikiungua, je atayeona ataona nini kama sio majivu ya cheti..?
kumbuka swala la kuchoma cheti ni badiliko la kikemikali (chemical change)
Je nikiona majivu yake niripoti polisi kuwa nimeona majivu ya cheti cha Bwana Mboya..??
Ndio maana imekua kituko, probably watu wa gazeti ndio waliokosea siunajua mambo ya kubedit, labda waliedit tangazo la mtu aliyepoteza cheti.
 
Cheti kimeungua halafu hapohapo unaomba kwa yeyote atakayekiona atoe taarifa Polisi?!
Sasa Tutakionea wapi cheti hicho wakati tayari kimeungua?!Majivu au?!
 
Halafu na Report Book no.nayo imekosewa. Mhariri wa gazeti hakuona hizi blunders.
 
Back
Top Bottom