Recent content by M$awa

  1. M

    Serikali "Kufidia" makampuni 50 yaliyoathirika na "Mtikisiko wa Uchumi Duniani"!

    Kampuni Hewa mpya zinahitaji fidia kwa uchaguzi wa CCM 2010 !
  2. M

    Sitaki!!!

    Sitaki neno Mkuu (Mkulu) liendelee kutumika humu ndani ! Ni uborongaji wa lugha; Sitaki kusema SITAKI!! kwa vile ni neno hasi NATAKA kufikiria mambo Chanya ! Nataka Nchi yangu Tanzania iwe na sheria ya Uraia mbili kwa Wale waliozaliwa, au wazazi wa TZ wanaoshikilia Uraia wa nchi nyingine...
  3. M

    Saba saba hiiiiiyo inaanza

    Tafadhali Mheshimiwa: ni Maliasili na sio Maliasiri !
  4. M

    Meremeta & TANGOLD Revealed!

    Na Mbado ! Hongera FEMACT uzi ni ule ule mpaka kieleweke ! Goli ni kuwakumbusha wananchi ndio wenye nguvu na sio chama cha mafisadi.
  5. M

    North Mara: Kashfa ya maji ya sumu toka mgodini!

    Huyu Buswelu ni limbukeni sana asiye na upeo wa kuona picha kubwa . Tumuogope sana ni adui wa haki na usawa na mazingira katika nchi yetu. Tutie presha Waziri muhusika ajiuzulu mapema na Spika aombe msamaha kwa kutimia ubabe wake usio na tija katika bunge tukufu kumfukuza Mb Cheyo aliyekuwa...
  6. M

    Mkulo aitengea wizara yake milion 500 za chai

    Holly Mackerel !!!
  7. M

    Africa's Longest Serving leader Dead at 73

    Gabon president Omar Bongo dies, French media reports | World news | guardian.co.uk Gabon president Omar Bongo dies, French media reports Gabon prime minister denies reports that world's longest ruling head of state has died at 73 The world's longest ruling head of state, Omar Bongo, of...
  8. M

    Kikwete to USA (May 2009)

    Picha zipo ! Hapo kama naumona vile Obama anajiuliza hili nalo Kuuuubwa omba omba ! LOL Duh !!
  9. M

    Kikwete to USA (May 2009)

    Dogo anajipikcha !
  10. M

    Kikwete to USA (May 2009)

    Hatimaye ! Mheshimiwa Juma Kilaza ndani ya Oval Office ! President Barack Obama meets with Tanzania President Jakaya Kikwete in the Oval Office Thursday, May 21, 2009. This was the President's first meeting with an African Head of State. A bust of Martin Luther King is at far left...
  11. M

    TUJIKUMBUSHE: Mafisadi EPA waruka kiunzi

    Haya ndio Mambo ya " Plutocracy " Thats why Mwalimu JKN was very pessimistic na ku-unleash "Capitalism" Socialism [and] (Failed Azimio la Arusha) was bad since it denies citizens to own property and accumulate wealth but its opposite Plutocracy is Worse ! It denies (Democracy) and rule of...
  12. M

    Confirm if you are coming...

    Mwanakijiji nakuja kesho usiku full full toka northkakalaki
Back
Top Bottom