Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,119
- 9,049
RIP..Kwa vyovyote vile, kama angelikuwa na nia njema na Gabon, asingeliweka mazingira ya kurithisha uongozi kwa mwanae.Kama mwanae ni competent, angeachia watu waamue.
Ukweli ni kuwa ubabe haulipi...baada ya kula good time kama kufa hakupo na kutojali hali za watu wake wagaboni, hatimaye mkono wa Israel umemnyemelea kitandani. Ulale mahali pema peponi.Ameni.