Kuna kipindi nilitaka kufungua kijisehemu cha watoto kucheza game (hata mi napenda sana game)lakini kuna siku nilienda cafe nikakuta dogo kavaa uniform anacheza game mpaka amejikojolea kwenye kiti na ameng'ang'ana hpo nikaachana kabisa na huo mpango mana nikaamini nitahikumiwa kwa kuharibu...
ushahidi umekutia hatiani tulia mh mbunge mstaafu ila acha kutupotosha kuwa umesingiziwa, wakmbushie wenzio wa ccm kina kinanda wawaache tembo wetu kuna siku yatawakuta kama yaliyokukuta hata kama sio leo kila uovu utalipwa
Clouds bwana ni kama maji si kwamba naitetea lakini inavyoonekana asilimia kubwa ya wanaoiponda ndo wasikilizaji wakubwa ndo mana wameisikia hata hyo jingle ya rais lakini wakija jf wanatoa mipovu kama wamebwia sabuni ya unga huyo founder wa jamiiforums anaielewa clouds ndo mana alikuwa mmoja wa...
ndo mana hata mkitangaza migomo mnashndwa kuitimiza mana hata pesa za kuwawezesha kuish mwez mmoja mbele hamna inatakiwa kutengeneza mazingira ya kuwa na pesa itakayokuwezesha kuishi miezi 6 mbele
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.