Usipoelewa maana halisi ya ya Demokrasia ni taaaaabuu kweli,
Ni ukweli usiopingika CDM imekua kuanzia juu kurudi chini tofauti na CCM ambayo Mwalimu aliikuza kuanzia chini kwenda juu.
Hebu fikiria huyu mtu (Joseph Y. Patrick
+255713802226
Mwenyekiti wa chadema wilaya/jimbo Temeke
Mwenyekiti BAVICHA mkoa wa Temeke
Mjumbe wa Baraza Kuu la Chadema Taifa
Mjumbe wa mkutano mkuu wa Chadema Taifa) ana lundo la vyeo,.
Hebu tujiulize na CDM ituambie,huyu kweli alisitahiri kuwa kiongozi?
Au ushamba wa technologia nao unatusumbua?
Kwa akiri ya kawaida tu,kuna namna ya kuwasiliana,je huyu kiongozi amefundishwa namna ya kuwasiliana? Au kwa sababu ya lundo la vyeo alivyo navyo anaweza tu kuwasiliana na jamii bila utaratibu?
Naye akifukuzwa unaanachama mseme viongozi wa Chadema wabaya?
Unadhani hata ZZK akiwa Mwenyekiti atakubali awe na watu wapumbavu kama huyu Joseph Patrick?
Au anatafuta umarufu kwa Zitto na kujipendekeza?
Shame on us,ukiwa na viongozi wanaotumia spinal cord kufikiri kama huyu jamaaa bora tu turudi CCM!,maana haingii akilini kiongozi mwenye vyeo vyote hivyo ati naye ana lalamika kwenye mitandaoo,kwa faida ya nani?,Huyu naye hana pakusemea ili ajenge?,Naye hawezi kusikilizwa mpaka andike tamko ndani ya jamii forum?
Nchii bado inasafari ndefu sana,Mungu atusaidie.
Ushauri wangu kwa Joseph Patrick ,hapaswi kuwa kiongozi hata wa familia yake wa familia yake mwenyewe,maana hata sita kwenda kulalamika kwa jirani ati mkewe akafa.........!!!
Shame on you,Jifunze namna ya kuwasiliana siyo kurupukia kwenye mitandao.
Pia nakuomba ujihudhuru hivyo vyeo maana itakuwa ulikutana navyo tu kwa bahati mbaya kwa sababu CDM inakua kutoka juu kwenda chini,hivyo vyeo bila shaka vilikudondokea ukiwa juha huna hili wala lile.
Poleni CDM.