jana nilijitahidi kuwaza fursa zilizotolewa, tangu nimelisika lile tangazo mpaka nashuka kwenye ile daladala sikuweza kupata jibu, hivi mchomvu , dj fetty na mbwiga ndo walikua wanatoa semina za fursa kwa exposure ipi ya enterpreneur walionayo, kuuza t shirt??, me naona yawezekana ndo weenda kudistort fikra nzuri za vijana mikoani, walishindwa kufanya mashindano ya vikundi vya vijana na kuwapa mitaji katika project zao, walishindwa kutembea na young enterpreneur wa mikoa husika kuwapa mwanga vijana wenzao, sababu fursa inalingana na eneo husika, wao wamewaza kauli mbiu nzuri, then wamefanya kutengeneza max profit kwa kuajiri vijana wao wajivishe elimu wasionayo ya kibiashara, na uandishi juu yake, Tanzania tuna tatizo la waliofanikiwa kuendelea kudidimiza fikra na juhudi za maendeleo kwa wasionayo. Mimi na Tanzania yangu.