Inatia moyo kuona sasa serikali inaanza kulipatia heshima jambo hilo. Juzi tulichangia Uzi humu. Baada ya kuambiwa mapokezi yake yalikuwa hafifu. Binti ameiwakilisha vyema nchi yetu kushinda hata timu zetu za mpira au malimbwende wetu wa miaka yote.
Huyo ana vipaji vingi. Ingefaa na kutia moyo...
Big up mwanahalisi
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Pamoja na kuruhusiwa kuoa lakini bado anazini na mke was muumini.
Haya mambo kama ni ya ukweli yawekwe wazi. Watu wengine wasimsemee. Aje yeye aseme. Hii ni aibu kubwa hata kwa kanisa siyo tu KKT, Bali kanisa lolote...
Hatua stahiki zichukuliwe...
Ningependekeza serikali imuendeleze katika ngazi za elimu zilizobaki. Wazazi na walimu wake pia wapongezwe. Hii itakuwa chachu nzuri kwawawatoto,wazazi name walimu.
Mara nyingi tunawaenzi wanamichezo, malimbwende nk, tunasahau mambo ya maingi kama hayo. Kwa JPM yupo humu, naomba alipe umuhimu...
Mtoa una mihemko tu ya siasa. Ushindi name demokrasiaZanzibar na hata bars, vimebakwa name chama tawala. Chama chako kilishindwa lakini kikalazimisha ushindi, ni aibu! Malim Seif bado shujaa.
Kuna usumbufu mwingi unapotumia daladala hususan maeneo ambayo usafiri unakuwa mgumu nyakati za asubuhi na jioni; lmaeneo kama Mbezi ya kimara kwa mfano. Kero yangu ya Leo inahusu pale unapopata siti tens baada ya kutoa nauli ya kuzunguka ambayo no buku. Utakuta mama anaingia ndani ya daladala...
Chiki binafsi: taka habari yoyote iliyoandikwa na mwanahalisi ambayo ni udaku. Usiandike ki ushabiki. Mwanahalisi limeibua mambo mengi yenye tija kwa nchi mpaka kuhatarisha maisha ya waandishi. Rejea mgomo Wa madaktari name dokta ulimboka au rudi nyuma kidogo juu ya a list of shame. Hii ni...
Well said..ufasaha Wa lugha ni muhimu kwa jamii yoyote. Kiongozi hasa Wa nchi ndiye kielelezo cha nchi husika. Umahiri au mapungufu yake, yanawakilisha watu wake walivyo..hivyo raisi wetu ajitahidi kwa hilo na mengine yanayohusu mahusiano yetu na jumuiya ya kimataifa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.