Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 22,756
- 27,481
HAKIKA SASA TUNA SEREKALI MAKINI.
mkuu nimewaza tu ndugu zangu wa kule Kakonko Yaeda Chini, Gamboshi n.k hii bei itawafikia kweli..kwanini wasitoe kama bei ya mafuta?Bei elekezi...
Ni kweli sio kufugia nywele tu....Kichwa kina kazi nyingi
Wanaouza bei hizo wamenunua bei juuWAFUATILIWE WENGI WANAUZA 2000/- HADI 2200/-.
Mtu wa Kilombero, Mtibwa, Moshi - TPC na Kagera - Sugar naye atanunua kwa bei hiyohiyo wakati production imo ndani ya miji husika, nadhani bei inatakiwa kuwa reviewed kwa maeneo hayo
ungeanza na mbunge wa dodoma, kwa nini apewe mkopo wa gari , wakati hata kwa miguu anaweza fika bungeni