Hapo kuna shida mkuuSio siri binafsi nimeshtushwa na kilichotokea leo, kwamba Rais anauliza wananchi kua nimtumbue.... wananchi nao wanajibu mtumbueeeeeee"
Hivi taratibu nasheria za utumishi zinasema nini? mtumishi anafukuziwa jukwaani?
Wewe ni mnafiki, basi!Ila style ya utumbuaji majibu nayo siikubali...I,e kuuliza watu then unafukuza.
Ila namkubali sana Mr.Presidaa....awamu hii rais tunaye na pia waziri mkuu naye yuko nondo.
Wish them kazi njema.
Halafu hakuna kiongozi wa upinzani, wa dini anayekemea mambo kama haya!Sio siri binafsi nimeshtushwa na kilichotokea leo, kwamba Rais anauliza wananchi kua nimtumbue.... wananchi nao wanajibu mtumbueeeeeee"
Hivi taratibu nasheria za utumishi zinasema nini? mtumishi anafukuziwa jukwaani?
Unafiki wangu ni upi mkuu...?Wewe ni mnafiki, basi!
Ukipata nafasi jiwekee hela ya advocate maana huji siku wala saa. kama ni kuuliza kwenye mikutano kuwa nitumbue, then jiwekee hela ya wateteziHuyu rais wa awamu hii haundi tume, yeye anaamua hapo hapo. Watumishi wa umma kaeni mkao wa adabu.
Ule ni mpango ulikwisha zungumzwa au kupangwa pale ilikuwa ni utekelezaji tu
Raisi anauwezo wa kumsimamisha kazi mtumishi yoyote ili kupisha uchaguzi, wakati wowote na mahali popote. Kama hujui wewe. Kaakimya
hata ukiwa na wakili mzuri kiasi gani jibu ni kuwa huwezi kushindana na kiongozi mkubwa wa nchiUkipata nafasi jiwekee hela ya advocate maana huji siku wala saa. kama ni kuuliza kwenye mikutano kuwa nitumbue, then jiwekee hela ya watetezi