Bara la Africa limelaaniwa na Mungu

Bara la Africa limelaaniwa na Mungu

Dhumuni lako ni nn sana sana..kutuaminisha kuwa tumelaaniwa ama?
Laana anayo yy anaye ikubali.
Shida ya Africa ni uongozi bora, Mungu awezi kulaani Africa labda tulikosea nn mpaka ifike hiv..sidhani
 
Yote ni sahihi lakini mwenye tabia hizo hata wewe umo pia,Ukiongelea wivu,roho ya kwanini,fitna,majungu,hiyo ni asili ya mwafrica na ndio laana hii aliotupa baba yetu NUHU sisi ni kizazi cha yule mtoto wa Nuhu alie chungulia uchi wa baba yake akiwa amelala.
 
Mwambie huyo aliyelaani Afrika ageuze hizo laana kuwa baraka aone tutakayo fanya
 
tatizo la africa ni wananchi wake na sio viongozi tu, kwa kua viongozi wanatoka kwenye kundi hilohilo la wananchi
 
Dhumuni lako ni nn sana sana..kutuaminisha kuwa tumelaaniwa ama?
Laana anayo yy anaye ikubali.
Shida ya Africa ni uongozi bora, Mungu awezi kulaani Africa labda tulikosea nn mpaka ifike hiv..sidhani
Pamoja sana ndugu yangu yaani tumelaaniwa?nadhani laana unaipata baada ya kufanya kosa fulani je waafrika tumefanya kosa gani?hilo hitimisho ulilotoa la uongozi bora ndio tatizo letu.Palikuwa na minara zama zileee imeandikwa ili tuendelee twahitaji vitu vinne
Ardhi
Watu
Siasa safi
Uongozi bora
Hivi viwili vya mwisho ndo havipo.
 
Hapana tusimuhusishe Mungu kwenye kila jambo baya ili hali ametupa akili na mamlaka ya kumiliki vyote huku dunian...Shida katika nchi zetu za Africa tumekosa SIASA SAFI NA UONGOZI BORA..
Bara lote likose kwa miaka nenda rudi,ndo laana hiyo
 
Kumbe mmelaaniwa haaa! Njooni niwombee laana ziishe nimepewa mamlaka ya kufuta laana
 
Siyo laana mkuu,Tatizo hili limesababishwa na Athari za ukoloni mambo leo.
 
Kama mungu katuleta hapa duniani ili kupata hayo maendeleo basi kweli tumelaaniwa japo sijui ni kipi tulichofanya hadi tulaaniwe na tulianza kulaaniwa lini?
 
Hv mungu anawezaje kuwabariki wayahudi alafu akawalaan waafrika?
Kwa sababu wayahudi walichaguliwa na Mungu by then na hata vitabu vya dini(kwa tunaoamini)vinaliongelea ilo,na vina simulia neema mbali mbali ambazo mayahudi walipewa na Mungu ikiwemo kuwa na Elimu kubwa sana na hata kula msosi toka mbinguni...wewe hata ndotoni hujawahi kuula huo msosi wa peponi.
 
Back
Top Bottom