Kuna usumbufu mwingi unapotumia daladala hususan maeneo ambayo usafiri unakuwa mgumu nyakati za asubuhi na jioni; lmaeneo kama Mbezi ya kimara kwa mfano. Kero yangu ya Leo inahusu pale unapopata siti tens baada ya kutoa nauli ya kuzunguka ambayo no buku. Utakuta mama anaingia ndani ya daladala iliyojaa huku kambeba mtoto mdogo. Huku anapepesa macho kuona nani atampisha siti.
No kweli kuna ambao wana dharura, lakini wengine wanafanya makusudi. Kama unajua unamtoto mdogo kwa nini usufanye utaratibu mwingine kuondoa usumbufu?
Kero nyingine ni pale ambapo umebahatika kupata siti ya pembeni, halafu Jirani yako was pembeni amesima na anaanza kukuegemea. Usiombe awe mwanamke, kwani ndo atakulalia kabisa.
Naomba tushirikishe kero nyingi pamoja na kujadili jinsi ya kuzitatua.