Huyu dada mnamsimanga sana ila ni mtafutaji sana. Sitasahau nakumbuka kipindi katlyn ana miez sijui mi3 ile dada wawatu alikua anapiga nae trip za mbugani huko. Mwenyewe. Mumewe alikuwa wapi mdada anachakarika na kichanga mradi kutafuta pesa.
Give her some RESPECT. Inawezekana hujui anachofanya...
Yes na hata sasa hawa developers wa hizi app hatuwafahamu hatujui imani zao maana wengine wapo ki biashara zaidi je wakiondoa mistari au wakabadilisha maneno maana ubaya wa Biblia ukibadili neno moja tuu umebadili kitu kikubwa sanaa.
Kuna respect fulani tunayo kwenye Biblia hardcopy ambayo kwenye simu haipo. Simu ina distractions nyingi sana huwezi kuwa na utulivu kiasi hiko na sio wote na wakati wote mtu utaweka airplane mode kuna kujisahau pia.
Pia tuwaze hizi app ziko nyingi sana tunajuaje kama app unayotumia ni maandiko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.