ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 19,714
- 28,268
Ok poa yaishe babu....kama huna mke msalimie demu wako mwambie namsalimu...asante...Najua ni public forum ila kila mtu huelewa kwa level yake ya uelewa na hapo ndipo binadamu muelewa huweka limit mkuu..
Sio kila kitu ni lazma ujibu na hii ndio dalili ya kumuheshimu kila mtu
By the way .Sina mke wala kwangu ila nina akili ya kujua kuwa hustahili kunipangia ni nini natakiwa kufanya