Recent content by Lyehagi

  1. Lyehagi

    Prof. Mwandosya: Hongera Mhe.Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa kuhitimu chuo cha uanasiasa

    He deserves congratulations as far as the situation is concerned. Tz is ours too!!
  2. Lyehagi

    Anaandika Waziri wa zamani na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza, Dr. Anthony Diallo. Historia nzuri sana hii

    Ninyi wazee wa ccmmmebakia kutusimulia hadithi za kizamani tunazozifahamu. Uzuri nilikuwepo najua unayoyasema, nafahamu jinsi shule za sirikali zilipolazimika kufungwa kwa kukosa huduma za msingi km maji, chakula, umeme, nk. Nafahamu pesa ilivyomwagika mtaani kama makaratasi yasiyo thamani...
  3. Lyehagi

    Kiwanda cha madawa cha Shellys kina ugomvi gani na Serikali?

    Something is wrong somewhere
  4. Lyehagi

    Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

    Watu wote hatulingani mtazamo, ndo maana utakuta mwingine anamtetea kibaka, mwingine anavamia na kuua Kisha anafutlrahia. Mwingine anaona kinyaa hata kumwona kuku akila mahindi yake, so kila mmoja anamwono wake, nawe unapenda kutetea yakuoendezayo kwa huyo zero brain
  5. Lyehagi

    The African Continental Free Trade Area....this is how each country voted

    Is Tanzania still unconscious of the this free movement protocol?
  6. Lyehagi

    Tanzania starts legal action against ‘rogue’ UK contractor

    Business as usual...Hawa watu walishaliona shamba la Bibi. Wanafanya watakavyo
  7. Lyehagi

    Sinema ya Rostam, Kikwete na CCM

    Gamba limetoka ingawa kwa shinikizo ndani ya Watanzania na mchezo ya siasa za makida makida za ndani ya ccm. Yasadikika sasa mh. Rz yupo Uswisi anapumzika baada ya siasa za mchosho. Je, nikweli kutoka kwa Rostam ni Gamba kuvuka au kujaza visasi? ua Je kutoka kwake ni mafanikio ya slogan na Nape...
  8. Lyehagi

    Ukimfumania mwenzi wako nyamaza

    Hapo tusidanganyane, wewe unaye mwenzi au umesimuliwa? Hakuna formula na maamuzi ni yako kama ulivyoamua kuwa naye hukutafuta ushauru.
  9. Lyehagi

    Rafiki wa kiume

    Nimesononeka sana kwani nijuavyo mimi unaweza orodhesha sifa milioni moja na kesho interest zako zikagota kwa m2 usotaraji, Ok kila rakheri bebiiiiiiiiiiii..........
  10. Lyehagi

    Kwa wanaofunga ndoa/marafiki

    EEH, mshenga wa bi arusi ndo kawa mrembo zaidiiiii...
  11. Lyehagi

    Sita na mawazo mchanganyiko, tumweleweje?

    nadhani aliwekwa pale kama kanyaboya ha ha ha ha
  12. Lyehagi

    Sita na mawazo mchanganyiko, tumweleweje?

    Jana Sitta na waheshimiwa wenzake walikuwa Mbeya wakiongea na wasomi wa vyuoni. Hilo siyo tatizo kwangu ila ninachojiuliza matamshi aliyoyachana jana yameendelea kuiwekapaya sana agenda ya mh. sana bwana mdogo Ngeleja, ambaye mpaka sasa anajivuna kwa kuwa na mipango mingi wizarani kwake bila...
  13. Lyehagi

    Tatoo za mbunge huyu mhhhhh!

    kama sura zilivyo tofauti, mawazo tofauti na fikra pia basi hata huyu naye ni tofauti na wengine. Halafu si wajua wenzetu walivyo kwa mapambo? Ukizingatia na posho za vihela vya migawo ya nauli nje ya bunge zipo sasa azifanyie nini kama hakuwakuta wananchi wake nje ya mjengo? NI HALALI ACHA TU...
Back
Top Bottom