Kiwanda cha madawa cha Shellys kina ugomvi gani na Serikali?

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,899
Juzi nimemuona mkurugenzi wa MSD akihojiwa kwenye kipindi cha Clouds360....akaulizwa kuhusu viwanda vya madawa vya hapa nchini cha ajabu akataja viwili tu....MansoorDaya na Zenufa kama nilimsikia vizuri.

But ninavyofahamu kiwanda kikubwa kabisa cha madawa hapa nchini ni shellys.

sio tu kikubwa Tanzania but ni mojawapo ya viwanda vikubwa Africa Mashariki.

Hawa wana branch DRC au nchi ingine ya Afrika niliwahi kusikia...

But habari za mitandaoni zinasema hawa shellys wanapunguza wafanyakazi
na baadhi ya raw materials wanazoagiza zinashikiliwa huko Bandarini...

Huku unaona Rais anasisitiza kuwepo na viwanda vya madawa ili nchi ijitegemee kwa dawa.

Najikuta nina maswali kibao ya kujiuliza.

1. Hawa Shellys wana ugomvi gani na Serikali?
2. Shareholders au wamiliki wa kiwanda hiki ni kina nani?
3. Whats going on?
 
Najaribu kuwaza tu inawezekana anatengeneza dawa hapa nchini lakini anauza kwa bei kama umeagiza nje..kwa hali hii serikali haiwezi kukupa ushirikiano ,,,,najaribu kuwaza izo material zilizozuiwa bandarini (kama zipo) labda hawataki kulipa kodi (wanataka msamaha) ili hali dawa wanauza ghali.... Nilikiwa nawaza tu jamani
 
Back
Top Bottom