Anaandika Waziri wa zamani na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza, Dr. Anthony Diallo. Historia nzuri sana hii

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,222
5,946
Anaandika Waziri Mstaafu na Mwenyekiti wa Ccm Mkoa wa Mwanz Dr. Anthony M. Diallo

Historia nzuri sana hii

Kuanzia mwaka 1978, ukuaji wa uchumi wa Tanzania na Kenya, vilikuwa ardhi na mbingu.

Tanzania ilijikuta katika vita, na baada ya vita ikajikuta mufilisi.

Fikiria Taifa lilihitaji dola milioni 300 tu hivi za kufufua uchumi, lakini ilishindikana.

Wakubwa walibana kila mahali, wakati huo Kenya haina kabisa changamoto zetu, wao wanazungumzia ukuaji ni ngapi mwaka huu, na utakuwa ngapi mwakani, sisi tulikuwa katika recession tukipambana kupata stimulus package ya kuturudisha katika hali yetu.

Taila lilijikongoja katika hali ngumu ambayo halijawahi kupitia kuanzia 1980 hadi 1985, karibu kila.shirika la umma lilikuwa na uwezo wa kujiendesha wa chini ya 40%.

Vijana wa sasa na hii saratani ya kutopenda kusoma, hawawezi kujua hayo.

Mwalimu alipoondoka, akina Prof Mbilinyi, washauri wa Mwalimu wa Uchumi, walimshauri Mzee Mwinyi akubali masharti ya IMF, ambayo Mwalimu aliyakataa.

Ilikuwa kazi ngumu sana, Mwinyi Mzee wetu huyu katika simulizi zake, alisema hakuwa akilala na alifikia hatua akajua anaweza kupinduliwa.

Wakati analazimika kukubali masharti ya IMF, duniani kulikuwa na maandamano dhidi ya masharti hayo hasa katika nchi za Amerika ya Kusini na Magharibi mwa Afrika.

Mzee huyu alilazimika kupiga moyo konde, waziri wake wa fedha akiwa Mzee Msuya, Bajeti ya kwanza ya kuridhia masharti ikasomwa.

Ndio wakati Bongo hii kuingia choo cha umma na kulipa kuliwashangaza sana watu, sera ya cost sharing ilisababisha Mwinyi akawa unpopular sana, lakini hakuwa na namna.

Alipewa hizo pesa lakini hali ilikuwa mbaya na zisingeweza kufanya kitu.

Mkopo wakati fulani ulilazimika kulipa mishahara, karibu mashirika yote ya umma na viwanda vilikwenda Hazina kuomba mishahara.

Hata hivyo uchumi ulianza kufufuka kwa namna ingine ya kupitia sekta binafsi, na serikali ikaanza kupata vikodi ingawa havikuwahi kuiwezesha kujiendesha.

Hadi mzee Mkapa anaingia Ikulu, alikuta mashirika karibu yote, yanakwenda kuomba mishahara hazina.

Mkapa alikwenda kujaribu kuomba mkopo wa stimulus package awamu ingine, akanyimwa, akatakiwa aeleze alizochukia Mzee Mwinyi zimekwenda wapi.

Mkapa akarudi, wasiojua wanamlaumu bure, akabuni mbinu mbili au tatu.

Mbinu mbili za kupunguza gharama za uendeshaji wa Serikali, ili mapato kidogo ya kodi yagharamie shughuli muhimu za Serikali.

Hapo ndio ikaja mbinu ya kutangaza ubinafsishaji wa mashirika karibu yote ya umma mnakumbuka kamati ya PSRC.

Mbinu ya pili, ikawa kupunguza wafanyakazi wa Serikali, mnakumbuka "redundance" lilikuwa neno maarufu sana.

Mbinu ya tatu, ilikuwa kurahisisha kuvutia uwekezaji wa nje, kwa kupunguza masharti ya uwekezaji.

Haya mambo ya wawekezaji migodini, na wanunuzi wa mashirika na viwanda kwa bei chee, ndipo yalipoanzia, japo wakati mwingine yanatangazwa kwa sura ya upigaji, wakati kwa wakati ule hakukuwa na namna.

Mkapa ndio aliondoka akamwachia Mzee Kikwete Serikali yenye uwezo wa kulipa mshahara wafanyakazi wake.

Mwinyi na Mkapa, walirithi Serikali isiyo na uwezo wa kulipa mishahara, JK na JPM ndio waliopata bahati hiyo ya kurithi Serikali yenye makusanyo yanayoweza kulipa mishahara.

Wakati huo wa Mwalimu baada ya vita, wakati wa Mwinyi na sehemu fulani ya wakati wa Mkapa, Taifa lilikuwa likijitahidi kujinasua katika mkwamo wa kiuchumi, wakati Kenya wanajadili ukuwe kwa kasi gani.

Hata hivyo kazi ya Mkapa mwishoni, JK na sasa JPM wataalamu wanakwambia, Kenya imeshaona ni swala la muda mfupi kuachwa kwa kasi ya ajabu katika uchumi. Tanzania ishaonesha kila dalili kuwa ndio next economic giant wa Afrika Mashariki.

Hata Kenya kwa kuliona hilo, imewekeza sana Tanzania na inategemea sana soko ya Tanzania.

Kwa hiyo promised future Tanzania ni dhahiri, tusiruhusu vichangamoto vidogo kuharibu kazi kubwa iliyokwishafanyika na inayofanyika.
 
Mwambie Nanihii asiwasumbue Wapinzani
 
Sasa mbona Magufuli anasema nchi imechezewa sana, hataki kufukua makaburi, watu walikuwa wanalala viwanja vya ndege kila siku, watu walikuwa wanaenda nje ya nchi kuliko wanavyoenda kijijini kwao kuwasalimia wazazi wao, ina maana hajui anachosema
 
Hata Kenya kwa kuliona hilo, imewekeza sana Tanzania na inategemea sana soko ya Tanzania.

Hii sentensi ni ya kujipendekeza. Historia inaonesha kwamba Kenya kuwekeza Tanzania inatokana na ufuataji wa mifumo ya kiuchumi wa nchi hii na Kenya. Siyo leo tu kwa Kenya kuigeuza Tanzania soko la bidhaa zake wala haitokani na Tanzania kuwa "Next East African Economic Giant". Miaka nenda miaka rudi Tanzani ni soko la bidhaa toka Kenya.

Kuna bandiko lililetwa humu kuonesha tofauti ya uwekezaji kati ya Watanzania na wakenya. Jambo la kujiuliza ni kwa nini watanzania hawaendi kuwekeza Kenya wakati wakenya wanakuja kuwekeza Tanzania.

Katika nchi za nje zinazoongoza kwa kufanya biashara na Tanzania Kenya ndiyo inaoongoza, ni kwa nini sisi watanzania hatujaingia kwenye soko la Kenya na kulitawala kama wakenya wanavyofanya kwetu?

Kwa ivo hoja ya Kenya kuwekeza sana Tanzania na sisi kuwa soko la bidhaa zao halitokani na hali ya kisiasa ilioko hivi sasa nchini mwetu, bali inatokana na Historia ya utofauti wa mifumo ya kiuchumi iliyokuwa inatumiwa na nchi hizi mbili baada ya kupata Uhuru mwaka 1961 na 1963.
 
Anaandika Waziri Mstaafu na Mwenyekiti wa Ccm Mkoa wa Mwanz Dr. Anthony M. Diallo

Historia nzuri sana hii

Kuanzia mwaka 1978, ukuaji wa uchumi wa Tanzania na Kenya, vilikuwa ardhi na mbingu.

Tanzania ilijikuta katika vita, na baada ya vita ikajikuta mufilisi.

Fikiria Taifa lilihitaji dola milioni 300 tu hivi za kufufua uchumi, lakini ilishindikana.

Wakubwa walibana kila mahali, wakati huo Kenya haina kabisa changamoto zetu, wao wanazungumzia ukuaji ni ngapi mwaka huu, na utakuwa ngapi mwakani, sisi tulikuwa katika recession tukipambana kupata stimulus package ya kuturudisha katika hali yetu.

Taila lilijikongoja katika hali ngumu ambayo halijawahi kupitia kuanzia 1980 hadi 1985, karibu kila.shirika la umma lilikuwa na uwezo wa kujiendesha wa chini ya 40%.

Vijana wa sasa na hii saratani ya kutopenda kusoma, hawawezi kujua hayo.

Mwalimu alipoondoka, akina Prof Mbilinyi, washauri wa Mwalimu wa Uchumi, walimshauri Mzee Mwinyi akubali masharti ya IMF, ambayo Mwalimu aliyakataa.

Ilikuwa kazi ngumu sana, Mwinyi Mzee wetu huyu katika simulizi zake, alisema hakuwa akilala na alifikia hatua akajua anaweza kupinduliwa.

Wakati analazimika kukubali masharti ya IMF, duniani kulikuwa na maandamano dhidi ya masharti hayo hasa katika nchi za Amerika ya Kusini na Magharibi mwa Afrika.

Mzee huyu alilazimika kupiga moyo konde, waziri wake wa fedha akiwa Mzee Msuya, Bajeti ya kwanza ya kuridhia masharti ikasomwa.

Ndio wakati Bongo hii kuingia choo cha umma na kulipa kuliwashangaza sana watu, sera ya cost sharing ilisababisha Mwinyi akawa unpopular sana, lakini hakuwa na namna.

Alipewa hizo pesa lakini hali ilikuwa mbaya na zisingeweza kufanya kitu.

Mkopo wakati fulani ulilazimika kulipa mishahara, karibu mashirika yote ya umma na viwanda vilikwenda Hazina kuomba mishahara.

Hata hivyo uchumi ulianza kufufuka kwa namna ingine ya kupitia sekta binafsi, na serikali ikaanza kupata vikodi ingawa havikuwahi kuiwezesha kujiendesha.

Hadi mzee Mkapa anaingia Ikulu, alikuta mashirika karibu yote, yanakwenda kuomba mishahara hazina.

Mkapa alikwenda kujaribu kuomba mkopo wa stimulus package awamu ingine, akanyimwa, akatakiwa aeleze alizochukia Mzee Mwinyi zimekwenda wapi.

Mkapa akarudi, wasiojua wanamlaumu bure, akabuni mbinu mbili au tatu.

Mbinu mbili za kupunguza gharama za uendeshaji wa Serikali, ili mapato kidogo ya kodi yagharamie shughuli muhimu za Serikali.

Hapo ndio ikaja mbinu ya kutangaza ubinafsishaji wa mashirika karibu yote ya umma mnakumbuka kamati ya PSRC.

Mbinu ya pili, ikawa kupunguza wafanyakazi wa Serikali, mnakumbuka "redundance" lilikuwa neno maarufu sana.

Mbinu ya tatu, ilikuwa kurahisisha kuvutia uwekezaji wa nje, kwa kupunguza masharti ya uwekezaji.

Haya mambo ya wawekezaji migodini, na wanunuzi wa mashirika na viwanda kwa bei chee, ndipo yalipoanzia, japo wakati mwingine yanatangazwa kwa sura ya upigaji, wakati kwa wakati ule hakukuwa na namna.

Mkapa ndio aliondoka akamwachia Mzee Kikwete Serikali yenye uwezo wa kulipa mshahara wafanyakazi wake.

Mwinyi na Mkapa, walirithi Serikali isiyo na uwezo wa kulipa mishahara, JK na JPM ndio waliopata bahati hiyo ya kurithi Serikali yenye makusanyo yanayoweza kulipa mishahara.

Wakati huo wa Mwalimu baada ya vita, wakati wa Mwinyi na sehemu fulani ya wakati wa Mkapa, Taifa lilikuwa likijitahidi kujinasua katika mkwamo wa kiuchumi, wakati Kenya wanajadili ukuwe kwa kasi gani.

Hata hivyo kazi ya Mkapa mwishoni, JK na sasa JPM wataalamu wanakwambia, Kenya imeshaona ni swala la muda mfupi kuachwa kwa kasi ya ajabu katika uchumi. Tanzania ishaonesha kila dalili kuwa ndio next economic giant wa Afrika Mashariki.

Hata Kenya kwa kuliona hilo, imewekeza sana Tanzania na inategemea sana soko ya Tanzania.

Kwa hiyo promised future Tanzania ni dhahiri, tusiruhusu vichangamoto vidogo kuharibu kazi kubwa iliyokwishafanyika na inayofanyika.
Ninyi wazee wa ccmmmebakia kutusimulia hadithi za kizamani tunazozifahamu. Uzuri nilikuwepo najua unayoyasema, nafahamu jinsi shule za sirikali zilipolazimika kufungwa kwa kukosa huduma za msingi km maji, chakula, umeme, nk. Nafahamu pesa ilivyomwagika mtaani kama makaratasi yasiyo thamani, nakumbuka redundance, namkumbuka jinsi Nyerere alivyotangaza kufunga mkanga na hata enzi za uhujumu uchumi za Sokoine.

Hoja yangu sasa, hizi hadithi na wizi wenu mloufanya serikalini katika migodi kwa mikataba iliyofungiwa nje ya nchi, maliasili, na ufisadi ktk bandari, reli mkazinywa, nk. Inachosha hata kutaja, jiulizeni swali... Tulisitahili kuwepo hapa tulipo? Mmekula vingapi? Mmeiba nyanza, shireku, nk. Leo unatupa alinacha....

NINYI WAZEE ACHENI HIZO HILA, WACHENI DANGANYA TOTO HIZO..,
 
Anaandika Waziri Mstaafu na Mwenyekiti wa Ccm Mkoa wa Mwanz Dr. Anthony M. Diallo

Historia nzuri sana hii

Kuanzia mwaka 1978, ukuaji wa uchumi wa Tanzania na Kenya, vilikuwa ardhi na mbingu.

Tanzania ilijikuta katika vita, na baada ya vita ikajikuta mufilisi.

Fikiria Taifa lilihitaji dola milioni 300 tu hivi za kufufua uchumi, lakini ilishindikana.

Wakubwa walibana kila mahali, wakati huo Kenya haina kabisa changamoto zetu, wao wanazungumzia ukuaji ni ngapi mwaka huu, na utakuwa ngapi mwakani, sisi tulikuwa katika recession tukipambana kupata stimulus package ya kuturudisha katika hali yetu.

Taila lilijikongoja katika hali ngumu ambayo halijawahi kupitia kuanzia 1980 hadi 1985, karibu kila.shirika la umma lilikuwa na uwezo wa kujiendesha wa chini ya 40%.

Vijana wa sasa na hii saratani ya kutopenda kusoma, hawawezi kujua hayo.

Mwalimu alipoondoka, akina Prof Mbilinyi, washauri wa Mwalimu wa Uchumi, walimshauri Mzee Mwinyi akubali masharti ya IMF, ambayo Mwalimu aliyakataa.

Ilikuwa kazi ngumu sana, Mwinyi Mzee wetu huyu katika simulizi zake, alisema hakuwa akilala na alifikia hatua akajua anaweza kupinduliwa.

Wakati analazimika kukubali masharti ya IMF, duniani kulikuwa na maandamano dhidi ya masharti hayo hasa katika nchi za Amerika ya Kusini na Magharibi mwa Afrika.

Mzee huyu alilazimika kupiga moyo konde, waziri wake wa fedha akiwa Mzee Msuya, Bajeti ya kwanza ya kuridhia masharti ikasomwa.

Ndio wakati Bongo hii kuingia choo cha umma na kulipa kuliwashangaza sana watu, sera ya cost sharing ilisababisha Mwinyi akawa unpopular sana, lakini hakuwa na namna.

Alipewa hizo pesa lakini hali ilikuwa mbaya na zisingeweza kufanya kitu.

Mkopo wakati fulani ulilazimika kulipa mishahara, karibu mashirika yote ya umma na viwanda vilikwenda Hazina kuomba mishahara.

Hata hivyo uchumi ulianza kufufuka kwa namna ingine ya kupitia sekta binafsi, na serikali ikaanza kupata vikodi ingawa havikuwahi kuiwezesha kujiendesha.

Hadi mzee Mkapa anaingia Ikulu, alikuta mashirika karibu yote, yanakwenda kuomba mishahara hazina.

Mkapa alikwenda kujaribu kuomba mkopo wa stimulus package awamu ingine, akanyimwa, akatakiwa aeleze alizochukia Mzee Mwinyi zimekwenda wapi.

Mkapa akarudi, wasiojua wanamlaumu bure, akabuni mbinu mbili au tatu.

Mbinu mbili za kupunguza gharama za uendeshaji wa Serikali, ili mapato kidogo ya kodi yagharamie shughuli muhimu za Serikali.

Hapo ndio ikaja mbinu ya kutangaza ubinafsishaji wa mashirika karibu yote ya umma mnakumbuka kamati ya PSRC.

Mbinu ya pili, ikawa kupunguza wafanyakazi wa Serikali, mnakumbuka "redundance" lilikuwa neno maarufu sana.

Mbinu ya tatu, ilikuwa kurahisisha kuvutia uwekezaji wa nje, kwa kupunguza masharti ya uwekezaji.

Haya mambo ya wawekezaji migodini, na wanunuzi wa mashirika na viwanda kwa bei chee, ndipo yalipoanzia, japo wakati mwingine yanatangazwa kwa sura ya upigaji, wakati kwa wakati ule hakukuwa na namna.

Mkapa ndio aliondoka akamwachia Mzee Kikwete Serikali yenye uwezo wa kulipa mshahara wafanyakazi wake.

Mwinyi na Mkapa, walirithi Serikali isiyo na uwezo wa kulipa mishahara, JK na JPM ndio waliopata bahati hiyo ya kurithi Serikali yenye makusanyo yanayoweza kulipa mishahara.

Wakati huo wa Mwalimu baada ya vita, wakati wa Mwinyi na sehemu fulani ya wakati wa Mkapa, Taifa lilikuwa likijitahidi kujinasua katika mkwamo wa kiuchumi, wakati Kenya wanajadili ukuwe kwa kasi gani.

Hata hivyo kazi ya Mkapa mwishoni, JK na sasa JPM wataalamu wanakwambia, Kenya imeshaona ni swala la muda mfupi kuachwa kwa kasi ya ajabu katika uchumi. Tanzania ishaonesha kila dalili kuwa ndio next economic giant wa Afrika Mashariki.

Hata Kenya kwa kuliona hilo, imewekeza sana Tanzania na inategemea sana soko ya Tanzania.

Kwa hiyo promised future Tanzania ni dhahiri, tusiruhusu vichangamoto vidogo kuharibu kazi kubwa iliyokwishafanyika na inayofanyika.

Nilitegemea utaongelea na utofauti wa serikali ya JK na hii ya Magu. Kuwa JK alijitaidi kuongeza uzalishaji na kukuza uchumi kwa kasi ya ajabu.
Je Magu kaongeza nini mpaka sasa? Kashindwa kuongeza mishahara, kashindwa kuajiri, viwanda vinapunguza wafanyakazi kwa kasi ya ajabu.
 
Wala hili halina ubishi,mtu yeyote mwenye akili zake timamu anategemea Tanzania iwe giant East and central Africa ila uongozi mbovu na siasa mbovu za ccm ndo zimetuweka kwenye position tuliyopo sasa
 
Diallo bhana hao mabepari wa Kenya wanalipa kodi na kuifanya bajeti ya nchi yao kujitegemea kwa karibia 95%, lakini nyie mabepari wa Tanzania ndio mnaongoza kwa ukwepaji kodi mkiwabebesha mzigo wa bajeti Wamachinga na Mama Lishe!!
Na watumishi wa serikali
 
dialo ni mfaika wa system,hivyo kuisifia ni sawa, kisingizio cha vita miaka arobaini iliyopita hakihalalishi matatizo tuliyo nayo kama ni kweli rwanda isingekuwa nchi leo kwani kila kitu kiliharibiwa lkn leo wako na afueni kuliko sisi
Ivi unajua kua China wanashika nafasi ya pili baada ya marekani ni kiuchumi, Na unajua kua kunawachina wanauza mchicha kariakoo?
Sasa ujue wingi wa wananchi na ukubwa maeneo kunaleta tofauti kubwa kati ya Rwanda na Tanzania.kuhudumia watu million 54 tofauti na watu milion 5. Uchumi wa baadhi ya nchi nisawa na kuhudumia wakazi wa DSM wakati Tanzania inamikoa zaidi ya DAR.
 
Back
Top Bottom