Sita na mawazo mchanganyiko, tumweleweje?

Lyehagi

Member
Dec 10, 2010
19
13
Jana Sitta na waheshimiwa wenzake walikuwa Mbeya wakiongea na wasomi wa vyuoni. Hilo siyo tatizo kwangu ila ninachojiuliza matamshi aliyoyachana jana yameendelea kuiwekapaya sana agenda ya mh. sana bwana mdogo Ngeleja, ambaye mpaka sasa anajivuna kwa kuwa na mipango mingi wizarani kwake bila kuwepo maendeleo yoyote tangu 1992 ya umeme. Sitta alikuwepo katika system zote tangu enzi hizo,
swali;
kwanini hakushtuka na kutoa maonyo yote hayo awali kabla hatujatumbukia kote huku?
kwanini kama alitoa ushauri hapo kale hakutaka kujitenga nao au kujipambanua zamani?
kama alishauri wakambeza ni lini ameeleza bayana kuwa aliwahi kutoa ushauri akakataliwa?
Je, nikisema kuwa naye ni walewale wanaotafuta madaraka halafu wawekane maswahiba wale keki ya taifa hili nitakosea?

Majuzi alipokuwa bungeni alitetea hoja ya posho kwani yeye hapo alipo anakula posho kibao; kwanza anafaidi kama spika mstaafu posho na maslahi zote za tiba na nyumba kwa familia yake, pili analipwa posho za mbunge n.k. inafikia hata kuwaita watoa hoja wanafiki ndani ya bunge.

Kwangu binafsi sijaamini kama ni mwenzetu sisi walalahoi kwani yabainika wazi ni nyoka anayejaribu kubangua ganda lake aonekane sumu kupungua but wapi, wako katika siasa za mnyukano tu wa makundi ndani ya chama chao cha mafisadi. Tuweni naye makini sana maana haeleweki, au ndo siasa zetu za kibongo kwamba ukipewa kukaimu kiti cha mwehu na wewe unageuka kuwa mwehu ili kiti kisije kuhisi kakaa mtu tofauti?
T A F A K A R I !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Huyu Babu apuuzwe tu anaropoka sana hivi akumbuki ya kuwa raisi wetu Jk alishatoa angalizo kuwa baraza la mawaziri linatakiwa kuwa kitu kimoja
 
hivi huyu mzee mnamuonaje! amechukuna nafasi ya lile zee jengine lililostaafu ma kamba teh teh teh
 
Huyu Babu apuuzwe tu anaropoka sana hivi akumbuki ya kuwa raisi wetu Jk alishatoa angalizo kuwa baraza la mawaziri linatakiwa kuwa kitu kimoja
Uyasemayo ni kweli mtupu, cha kushangaza ni kwanini Rais hamuwajibishi kwa kuling'ong'a baraza la mawaziri. Mbaya zaidi hata skendo ya Richmond inamhusu yeye zaidi kwani wkati Richmond inapewa tenda yeye alikuwa boss wa TIC hivyo alipaswa kuishauri serikali vizuri. Inashangaza kuanza kuwa adabisha akina Lowasa wakati wao hawakuhusika kuipokea.
 
kweli hiki kibabu kinaoneka kichawi kwani kinatoa kauli tata na ambazo yeye mwenyewe ni mhusika.
 
mnafiki tu huyu na ccm yote haina nafasi katika jamii mpya ya watanzania
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom