Bora kujidhalilisha kwa Ml 500 kuliko kujizalilishaa kwa Buku 7, wanajamvii tushajiulizaaa kipi boraa Idriss na Umaarufuu wa maanaa kapataaa Wewe Timuuu J umempataaa Kawe.
Nikupe njaaa ya kuzidii Jiranii yako nimpe noti za kutoshaa halafu silahaa nje njee unahisii nini kitatokeaa, Sasa hapo Marekanii hali ndo hiyo toka Enzii hizooo ndo Mana Nyeusii inakwama Ilikwamishwaaa.
Kuna watu hawajui maana ya unachokiongeaa hata kidogo maono mapana hawana ndio maana watu wananafasi kubwa serikalini hila wanafanya upuuzi kama vibaka wa mitaanii kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa Sahizii watu ni mwendo wa kuropoka tuu from nowhere bila kuelewa dunia ishakua kijiji wanalicost...
Hyo ni moja ya kozii mpyaa kiutandawazii serikalii inaangaliaa uwezekano wa kua na wakufunzi watakao lisaidia taifa in the futuree, hyo saikolojia based course jiandae kuajiriwa sio mna kalili makozii yakusomaa tuu waajili wenu wanataka mue na ujuzii fulanii utakao wasaidiaa
Hakuna mtu anayeweza kushitakiwa kwa kosa la kutokujiandikisha ni haki ya kila mtu kwenye kila jamhurii, Swali je wewe umeikataa haki yako ya ndoa tukushitakiii?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.