Msaada: Napenda kutambua aina ya kozi niliychaguliwa.

fredy mgendi

Member
Aug 20, 2019
9
1
Habari wana jf mm nimechaguliwa udsm kozi ya bachelor of education in educational psychology sasa ningependa kutambua hii kozi inatofautiana vp na koz zingine za elimu kama Baed ,bed n.k ,msaada plz
 
Ni kweli mm ndo niliomba ila niliomba koz nying lakini ikatokea wakanichagua kwenye hii koz ndo napebda nipate ufafanuzi ili ikiwezekana nikifika nipambane kubadilisha koz
 
Habari wana jf mm nimechaguliwa udsm kozi ya bachelor of education in educational psychology sasa ningependa kutambua hii kozi inatofautiana vp na koz zingine za elimu kama Baed ,bed n.k ,msaada plz
Hyo ni moja ya kozii mpyaa kiutandawazii serikalii inaangaliaa uwezekano wa kua na wakufunzi watakao lisaidia taifa in the futuree, hyo saikolojia based course jiandae kuajiriwa sio mna kalili makozii yakusomaa tuu waajili wenu wanataka mue na ujuzii fulanii utakao wasaidiaa
 
Kijana shida yako si ilikua kusoma UDSM kasome tu..
Ni kweli mm ndo niliomba ila niliomba koz nying lakini ikatokea wakanichagua kwenye hii koz ndo napebda nipate ufafanuzi ili ikiwezekana nikifika nipambane kubadilisha koz
 
Asanteni kwa ushauri wenu ingawa wengine mnatumia shida za mtu kumfanya aonekane wa ajabu,,,kiufupi mm ni mwajiriwa kwenye kada ya ualimu kwahyo nilipoomba ckuangalia kuja kuajiriwa ila ndo hivo nitakomaa,,,,,
 
Back
Top Bottom