Kushukuru ni uungwana na kujali pia!

Kushukuru ni uungwana na kujali pia!

Ongera sana kaka pongezi nyingi sana kwako,
Binafsi unastahili kwa aina ya Mada zako na aina ya Comment za huku kwa sasa kwani kuna kitu kimepungua Jf.

Unaustahimilivu wa hali ya juu sana,pamoja na Busara na ukomavu ,unajua kujibu mtu kwa kuzingatia Muhusika ,wakati na Mada husika pia kuwachukulia wanao kukwaza

Hakuna mtu ambaye hajajifunza kitu kutoka kwako ,kwangu mm member no 1 kwa ubora ni wewe.
Kifupi unastahili Sana, Congratulation
Asante sana am humbled...!!! [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Na sidhani kama unatakiwa ulipe Mshana Jr wewe ni moja ya watu ambao una contents nyingi na influence kwenye hili jukwaa. Na JamiiForums bila contents si lolote it's a win win kwenu wote kifupi mnategemeana.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Ni vitu gani anavyovipata "platnum member" lakini member wa kawaida hatuvipati?
moja ya faida ni kwamba jamaa atakuwa na uwezo wa kuingia jf bure bila kujiunga kwenye vifurushi vya internet.[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Hongera! Unastahili kwa jinsi ulivyo sumaku ya kuwavuta wanachama wengine katika mada unazozizungumzia.
 
Back
Top Bottom