Recent content by lwino

  1. L

    JamiiForums Tanzania Diamond na Wema, Full drama!

    Wema jamani wema!huyu mwanamke ana mavituko yakutosha acha daindomo amuumbue maana wema akienda kwenye maredio huko anasema daimond anamshobokea ulitegemea nini......yani big ups man wa nataka kesho mwanamke si wa kumuonea huruma fukuza cheche hilo halina dili liumbue tu lishindwe cha kusema....
  2. L

    JamiiForums Tanzania Wote wanaoipinga redio ya watu claus fm wana chuki binafsi

    We jay mwambie kibonde aache kujipendekeza kwa ridh kikwete vile vibahasha anavyovichukua kwa ridh ni vya nini,au na wewe pust wao!
  3. L

    JamiiForums Tanzania Wote wanaoipinga redio ya watu claus fm wana chuki binafsi

    Hii radio inapendwa sana na wajinga hata vipindi vyake ni vyakijinga sana,jiulize clouds nani ana mkataba na mshahara wao unaeleweka?.clouds inaongoza kwa kupotosha jamii hasa watoto wa shule inawaharibu..mimi binafsi kwa roho safi niliacha kuisikiliza tangu 2003 namaliza form four kwanza...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Wenye visimbuzi (ving'amuzi) vya Startimes.. mnapata signals..

    Mi nilishatupia huko kwao bora dstv ni balaa kitu quality picture!
  5. L

    JamiiForums Tanzania Madada na Vitambi vya bia za OFA.

    Bongo kuna vitambi kitu wanawake wa zambia balaa ila wanakwambia ni castle lager!kuzaa hatukatai tumbo linarepeta sana ila jamani pombe sana unakuta mwanamke anakitambi kama tikiti maji halafu wanaozungumziwa hapa wanavitambi vya bia na mchemsho na wanakwenda monde kabla ya hapo wanagonga blue...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ben Paul ajibu Shutuma za Lady Jay Dee

    Jide ana mchango mkubwa sana clouds pia kwani kipindi kile clouds inaanza wanapita katika baa maarufu na buzuki lao msanii wao maarufu alikuwa ni jidea,unajua hawa watoto kama wakina ben pol ni takataka kwa mtu kama jide ambaye ana wigo mpana kiusanii...halaf tukumbuke kuwa clouds hawapendi mtu...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Nyie madada mkoje? hamna hata chembe ya aibu?

    Wasichana wetu hawajui kitu wanachojua ni kukomoa tu,ila ilitakiwa kutomchelewesha unamchana moja kwa moja kabla ya kuja aje peke yake la sivyo asije utaona kama ni waukweli atakuja peke yake kama ndo walewale hatokuja!
  8. L

    JamiiForums Tanzania Bar hii sintakunywa tena!

    Hii tabia inaniboa sana tena dar ndo imekethiri sana unakuta mtu hakujui wala nini anajidai anakupa ushauri lakini huo ushauri ni kwa faida yake kisa unanunua bia za kutosha!
  9. L

    JamiiForums Tanzania Niende wapi na four ya 27??

    Ualimu kama ni chaguo lako na lilikuwepo mawazoni mwako elekea huko ila kama haikuwa chaguo lako pita njia mkato anza cheti hatimae utafika maisha ni moyo usikate tamaa wengi wana four kama zako na wapo pazuri sasa
  10. L

    JamiiForums Tanzania Wanawake wote wananikataa!

    Kama unatafuta demu wakuzugia wapo kibao ila suala la mke ni jambo gumu mke hatafutwi kama shati za mtumba au chupi,jiangalie kama una vigezo vyote huwezi koisa demu!
  11. L

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mwanaume rijali asiye tembea na machangu?

    Hata mkeo anaweza akawa changu kwa mwenzio
Back
Top Bottom