Wanawake wote wananikataa!

Wanawake wote wananikataa!

Kujiintroduce hapa tu umeshindwa kutoa C.V zako, je ukikutana na mrembo inakuwaje. Fanya mishe mapema upate jiko, umri unasonga kaka.
 
watatafutaa pamoja, hizo ni sababu tu za watu wasio taka kuoa. lol

Chezea watoto ya mujini wewe?

Watu wanataka kuhamia readymade, wewe mtafute pamoja mpaka saa ngapi?
 
Mvulana wa miaka 30? Sred yenyewe unaandika kitoto hivi, no wonder!
 
hi!wanajamii forum!
mimi ni mkazi wa moshi nina umri wa miaka 30, kila mdada nikimtongoza ananikataa na sasa natafuta mke wa kuoa!
jamani nisaidieni nijikeep vipi ili niweze kupata mwenza wangu wa maisha?

wewe unaonekana hauna ushawish weny mpanglio,kwaamana hata kuleta mada yako 2 umechnanganya mamb mawil na we hujui kama unachcnganya mamb mawil,ushaur we kama n wa buku tana tafta dem wa buku mbil,halaf mada ya mke wa kuoa peleka love conect,over
 
U might be 30 but still a boy u need to be a man, thou even boys hav girl friends, check urself something is wrong with u!
 
...ninachoamini mimi ndani ya miaka 30 ..kinajana wa kiume lazima upate binti aliye kudondokea hata utishe vipi..
 
hi!wanajamii forum!
mimi ni mkazi wa moshi nina umri wa miaka 30, kila mdada nikimtongoza ananikataa na sasa natafuta mke wa kuoa!
jamani nisaidieni nijikeep vipi ili niweze kupata mwenza wangu wa maisha?

Umezaliwa na kukulia Moshi au umeenda Moshi ukubwani? na umekaa muda gani Moshi?
Mfano, utongozaji wa Dar unaweza usifanikiwe Moshi(especially ukiwa unataka mke na sio mama ntilie).
Nimeshashuhudia viwembe wa Dar wamechemsha Arusha na Moshi.
Fahamu kuwa unapomtongoza mwanamke(wife material) akakukubali, usidhani amekukubali hapo unapomtongoza, anakuwa alishakukubali hata kabla hujamtongoza, yaani alisha ku-evaluate kabla hata hujamtokea na aka ku-pre-approve.
Inawezekana wanawake wa huko hawaoni kutoka kwako sifa zozote ambazo zinaweza kuwafanya waka ku pre-approve kuwa mume.
Chunguza wanawake wa huko wanapenda kuolewa na watu wa aina gani ki hali na mali, halafu jilinganishe na wewe ukoje, kama uko vinginevyo jitahidi ku achieve hizo sifa.
 
Mh..mkuu dunia ipi hiyo ya kutongoza mademu siku hizi? eti bro mzabzab, when was the last umetongoza demu!??:A S 39:

Ebu fanya mpango uhamie Dar ukutane na kina Asnam wao pesa tu mapenzi second palce..u neva know unaeza bahatika!!!:tape2:
 
Last edited by a moderator:
Kama unatafuta demu wakuzugia wapo kibao ila suala la mke ni jambo gumu mke hatafutwi kama shati za mtumba au chupi,jiangalie kama una vigezo vyote huwezi koisa demu!
 
Je wewe una kasoro gani? Jaribu kuwa simple utawapata wengi. Mwanamke kiumbe wa ajabu, wengi hupenda kuambiwa maneno matamu kwa lugha laini.
 
Back
Top Bottom