Nyie madada mkoje? hamna hata chembe ya aibu?

Nyie madada mkoje? hamna hata chembe ya aibu?

KWa hiyo wewe unakutana na mtu ambaye ushakutana naye kabla hujakutana naye.
Mkuu kama ndio siku ya kwanza haina shida hata kama atakuja na wenzake kumi. Nadhani siku ya kwanza lengo ni kufahamiana kwanza, baada ya hapo ndio unaweza kuamua mwenyewe kama anafaa au la...............ila mapenzi ya siku hizi yanachekesha sana.
 
hadi najilaumu,hata moja cna,dingi mwenyewe ni mkorofi kama nini,ukiweka movie,anadai nitaiga uhuni,bora nilale sasa!

hahaaa!ila watoto wote muhimu
kuwah kulala so hakuna ubaya unatakiwa ulale
mapema!

ha ha ha ha ha haaaa
kumbe una kahela kiduchu
halafu unakaa baa
ungemsubiria pale kwenye nguzo ya umeme karibu na posta
lazima angekuja alone.
 
Sijakataa kwakuwa sinahela. Unapokuja na mashosti zako kwenye date mimi nakosa nafasi ya kuongea na wewe privately. Kwa maana mishosti yako ikipata pombe mnaanza kupiga stori zenu za umbeya inakuwa haina mantiki ya dating. Ntalijuaje jitu nnalotegemea liwe jimke langu kama sipati chansi yakuongea nalo privately?

Jifunze mwana, mtu mara ya kwanza ajilete bila ulinzi. Wewe ungelikubali ile hali, ukatulia, umemwona sura, kaa naye kidogo ,then next time mwambie kuwa aje peke muongee muelewane. Ssas wewe unapaniki siku moja tu!
 
Ulimbukeni wa kutojua maana ya DATING.
Sasa ulinzi wa nini wakati ni public place na bado mchana. Yaani mijitu humu migumu kuelewa..
 
We unaonekana kila siku unadate.Lazima waje wawili au watatu ili kujihakikishia ulinzi maana siku hizi hakuna uaminifu.Ukiona wamekuja wengi na una hela za stress ni vyema tu uwatahadharishe kwamba sikujua kama mtakuja wengi hivyo nina pesa kidogo tu,so kunyweni soda tu jamani_basi unaeleweka kirahisi tu.
 
Wasichana wetu hawajui kitu wanachojua ni kukomoa tu,ila ilitakiwa kutomchelewesha unamchana moja kwa moja kabla ya kuja aje peke yake la sivyo asije utaona kama ni waukweli atakuja peke yake kama ndo walewale hatokuja!
 
First date hata mm siwezi kwenda peke yangu kama sikufahamu,we the world change kwa kwelii..so ni haki for first date kua na kamlinzi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sijui kwa nini mnakuwa na roho ndogo jamani. Kwani wadada wakiwa wawili hawawezi kushare bills? What kind of kadies do you hang out with? Kha
Wasichana wetu hawajui kitu wanachojua ni kukomoa tu,ila ilitakiwa kutomchelewesha unamchana moja kwa moja kabla ya kuja aje peke yake la sivyo asije utaona kama ni waukweli atakuja peke yake kama ndo walewale hatokuja!
 
Nimeshasema niko vizuri tena nna maboksi ya hela kwenye buti. Unajua kwa sisi watoto wa mabalozi tuliokulia ulaya hii mitabia ya kishenzi ya kiswahili inakera mno. Disguisting. Ndo maana kuna watu wanafananisha midemu ya kiafrika na apes(nyani).

flanUnapanga appointment na demu mkutane bar i

wamekuona NJEMBA na bado MJOMBA kama wewe ,jiandae kuchunwa sana.Si unawaona wao apes.[kuna tofauti kati ya

apes na nyani !]
 
Nimeshasema niko vizuri tena nna maboksi ya hela kwenye buti. Unajua kwa sisi watoto wa mabalozi tuliokulia ulaya hii mitabia ya kishenzi ya kiswahili inakera mno. Disguisting. Ndo maana kuna watu wanafananisha midemu ya kiafrika na apes(nyani).
Ndugu , weka heshima kidogo , unaweza ukawa unajitukana na mwenyewe pia...
 
Ushamba hauna mwenyeji
wewe unatembea na maboksi ya hela? EMT kuja pande hii ufundishe vijana what to carry in their walleta and if need be in their car hood!
Nimeshasema niko vizuri tena nna maboksi ya hela kwenye buti. Unajua kwa sisi watoto wa mabalozi tuliokulia ulaya hii mitabia ya kishenzi ya kiswahili inakera mno. Disguisting. Ndo maana kuna watu wanafananisha midemu ya kiafrika na apes(nyani).
 
Last edited by a moderator:
Nimeshasema niko vizuri tena nna maboksi ya hela kwenye buti. Unajua kwa sisi watoto wa mabalozi tuliokulia ulaya hii mitabia ya kishenzi ya kiswahili inakera mno. Disguisting. Ndo maana kuna watu wanafananisha midemu ya kiafrika na apes(nyani).
Really umekulia ulaya,ulaya my arse.Check your spelling if they are correct tena unaonekana njaa unatembea na boksi za hela halafu watu wa3 wanakutoa nduki.Tumbafu kabisa acha kutudhalilisha wanaume
 
nshawahi kuwatimua mademu kama hao, bad enough alikua yule ninae mtegemea kuwa girl wangu. alinichukia sana kisa nimemuaibisha.
 
Really umekulia ulaya,ulaya my arse.Check your spelling if they are correct tena unaonekana njaa unatembea na boksi za hela halafu watu wa3 wanakutoa nduki.Tumbafu kabisa acha kutudhalilisha wanaume

Yep. Maboksi ya pesa. My line of work requires me to carry boxes of money since I deal with cash payments. daily.
 
Back
Top Bottom