kwa maelezo yaliyototewa mkuu wangu yazingatie kwa umakini isitoshe na website yao inafunguka vizuri usikubali kutoa rushwa.Rushwa ni adui wa haki fuata taratibu zote utafanikiwa
Siku zote shetani anatumia watu kujitambulisha sasa huyu ndugu yangu anayeita fgbf takataka ni miongoni mwa maasimu wa shetani.kwa mtoa mada ameelezea dhamila yake na ni furaha kwa wana FULL GOSPEL BIBLE FELLOWSHIP na mimi nikiwa miongoni mwao.Sisi ni mashujaa na tutabaki kuwa mashujaa SHALOOOM...
habari zenu wana jamvi kwanza natanguliza shukrani zangu kwenu wana jamvi kwa ushirikiano wenu mchango wenu ni mkubwa kwangu.
Nawaombeni mnisaidie kwa hili mimi ni kijana niliyemaliza kidato cha nne mwaka 2009 nikapata point 28 sasa nimejiunda nataka nijiunge na chuo cha UANDISHI wA HABARI kama...
habari za asubuhi wana jamvi nimatumaini yangu kwamba hapa ndo mwisho wa suluhisho la tatizo langu kuna maneno mpaka sasa hivi sijapata maana yake naomba kusaidiwa.
Kwa moyo mmoja nayawasilisha maneno haya hapa ORUSHENGO;AKATABULANE;EIBUBA;KIJUTA;ENDWANO.
Kwa ufupi mwenye kujua maana yake...
hapo ndo umegusa penyewe kwa sababu watanzania tulio wengi mawazo yenu ni tegemezi na hawa wenye akili zao wazungu watazidi kututawala kifikra na kiakili tujikwamue watanzania
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.