Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,659
Hahahaaaaasa ccm watajinyonga
hahahaha,lumumba yote imepoteana,yule jangili wao atangulie mahakamani sasa
Hahahaaaaasa ccm watajinyonga
View attachment 178144
Khaa! CDM kweli mnahamu ya kujua lini zamu yenu, ina maana wenzetu tayari mbio hadi kwa mama Mwita na kadi zenu sijui bendera kakakuona awatabirie mtakuwa mko desperate sana, lakini the late Paul the octupus na yeye si aliwatabilia ushindi whatever happened to that prediction.
Anywayz mama Mwita kaula maana kakakuona kamfuata mwenyewe nyumbani, sijui ingekuaje angekutwa mitaa ya ufipa.
Kwani Mwenyezi Mungu hawezi kutumia viumbe wake aliowaumba kufikisha ujumbe kwa waja wake?Ndugu zangu nchi haiongozwi kwa tabiri za wanyama na wala tabiri za wasoma nyota,viganja na vitabu vyao. Hata tawala za kale hazikusimikwa kwa tabiri bali kwa maagizo ya mwenyezi Mungu peke yake au kupitia kwa wateule wake. Chama chochote cha siasa ili kiweze kiweze kushinda nafasi yoyote ni lazima kiwe na sera nzuri zitakazokubalika kwa wananchi walio wengi, uwezo wa kuongoza na sifa nyinginezo.Siku zote ushindi ni sayansi na mahesabu. Ushabiki tunaouona kwenye siasa mara nyingi hausaidii na unawaaminisha kinyume kabisa viongozi wa kisiasa. Tuliyaona sana kwenye chaguzi zilizopita na matokeo yasiyotegemewa.
hakili hamna kweli cdm hakita pata wabunge zaidi ya 10 magaidi nyinyi tunataka sera siyo hao wanyama wenu mmefirisika kisiasa mnatafuta pa kutokea
View attachment 178144
Khaa! CDM kweli mnahamu ya kujua lini zamu yenu, ina maana wenzetu tayari mbio hadi kwa mama Mwita na kadi zenu sijui bendera kakakuona awatabirie mtakuwa mko desperate sana, lakini the late Paul the octupus na yeye si aliwatabilia ushindi whatever happened to that prediction.
Anywayz mama Mwita kaula maana kakakuona kamfuata mwenyewe nyumbani, sijui ingekuaje angekutwa mitaa ya ufipa.
Hata lugha umekopa kwa huyo Mbembe wenu ? Mwambie aache posho za Bunge na PAC kama ataweza kuishi .........aka jenge hicho chama cha viongozi ambao hawana wanachama ACT ...
hakili hamna kweli cdm hakita pata wabunge zaidi ya 10 magaidi nyinyi tunataka sera siyo hao wanyama wenu mmefirisika kisiasa mnatafuta pa kutokea
Kama ushindi unapatikana kimiujiza sawa! ila kama ni kwa kura! CHADEMA wasijidanganye!
Ni chadema ,Sio UKAWA tena?
habari ya Leo ni mauaji ya wangwe ambayo mbowe .slaa.waliyapanga ili waendelee kunufaika
hizo story za wanyama peleka kwenye vijiwe vya kahawa
Wewe ni Mbembe? Maana Zwazwa ni neno kutoka Kabila la Wabembe wenye asili ya Kongo ....
Duhh ,,,mpaka wanyama wanaikubali Chadema , wewe binadamu mwenye akili timamu unasubiria nini?
Kamwe cwezi kukikubali chama kinachoongozwa na wauaji
Duhh ,,,mpaka wanyama wanaikubali Chadema , wewe binadamu mwenye akili timamu unasubiria nini?
kura utazipiga wewe? mwendawazimu mkubwa! wewe kura yako hiyo moja kaipeleke kule lumumba, sisi tusiokuwa na vyama na tusiokuwa na ushabiki wa kimsukule kama wewe tunaona CHADEMA ndio tumaini jipya kwa watanzania na tutawapa kura za kishindo mwaka 2015. elewa kwamba kuna watanzania milion 45, na wanaccm wote nchi nzima hawazidi milion 2. nyie jipigieni kura zote milion 2 na hizi kura milioni 43 tunazipeleka CHADEMA, na msitarajie kwamba mwaka 2015 hatutajitokeza kupiga kura kama ilivyokuwa 2010. tumechoshwa na utumwa wa ccm, uchaguzi ujao lazima kieleweke. tutajitokeza kupiga kura mpaka mshangae...wala kakakuona hajakosea, alichotabiri ndicho kitakachowakuta 2015. anza kujiandaa kisaikolojia kuwa chama cha upinzani.