fgbf ndo takataka gani?
fgbf ndo takataka gani?
fgbf ndo takataka gani?
fgbf ndo takataka gani?
Siku zote shetani anatumia watu kujitambulisha sasa huyu ndugu yangu anayeita fgbf takataka ni miongoni mwa maasimu wa shetani.kwa mtoa mada ameelezea dhamila yake na ni furaha kwa wana FULL GOSPEL BIBLE FELLOWSHIP na mimi nikiwa miongoni mwao.Sisi ni mashujaa na tutabaki kuwa mashujaa SHALOOOM MASHUJAA
fgbf ndo takataka gani?
Bull na dog=wewe ni zaidi ya takataka nyamaf kama hayakuhusu pita kimya kimya au unataka demu wako akuone umechangia? eti we pakashume.Ongereni sana FGBF endeleeni kufanya kazi ya Bwana sisi ambao sio wa huko tuko pamoja.
hii nimeipenda,vipi itakuwa kanisan mwenge au uwanjan?