Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Mkuu anza kuvaa suti sababu pia zitakufanya uwe na confidence mbele za watu
Weusi ni dili sana hutakiwi kujutia
swali
unapendelea mavazi yapi?
Mkuu anza kuvaa suti sababu pia zitakufanya uwe na confidence mbele za watu
weka picha yako kwanza
Kitu gani kinakufanya uhisi hupendezi?
Mkuu suti NA joto hili...
Lazima uchunguze ujue nguo zipi zinakupendeza.
Suruali aina gani
Mashati aina gani
Rangi ipi
Na kama mwili wako unakubali, maana wengine miili yao hata uiveshe vipi haipendezi
tafuta pesa uzuri mwachie dada ako mkuu
Utanashati gharama!
Isije kuwa unashindia kinyelamumo za mtumba a.k.a "mama ntakunyaje"
Kama Kila nguo unayotupia haupendezi,jaribu kutembea uchi kiongozi!!
Kama weupe ungekuwa dili,ubuyu usingepakwa rangi.
Utanashati gharama!
Isije kuwa unashindia kinyelamumo za mtumba a.k.a "mama ntakunyaje"
Kama Kila nguo unayotupia haupendezi,jaribu kutembea uchi kiongozi!!
Kama weupe ungekuwa dili,ubuyu usingepakwa rangi.
Habari wakuu,
mimi ni kijana mwenye miaka 25..ni mweusi sana...na mrefu wa wastani....na sio mnene
..ningependa wakuu mnipe hints za kuvaa..ili na mimi nionekane smart...kama vijana wenzangu.
Najitahidi kununua nguo
lakini hazinipendezi.
hongera kwa kutamani kuwa samrt, hao, wanaokubeza ndio uchafu wa akili zao, kikubwa badili muonekano, anza kuvaa suruali za kitambaa model zile, na mashati mikono mirefu au mifupi, pia nguo nunua popote ili mradi nzuri ndugu, si mpaka uone duka limeandikwa classic. mimi uwa navaa nguo za tandika bei buku jero, nikilipeleka kwa fundi nikabana shati, namfunika mpk wa classic shop, kingine jikubali aisee, ukiwa smart raha sana, mimi bado kidogo mzeee 1 anipe mtoto wake church awe mke.
asante...mkuu...