atimaye imetimia

atimaye imetimia

ccm wana msimamo wa serikali mbili kwa hili swala katiba apatikani ng'o hata kwa bahati mbaya
 
baada ya wabunge kuendelea kupingana wao kwa wao wananchi walio wengi wamekimbia na kuacha kufuatilia mijadala inayoendelea kupitia luninga zao.
Asilimia kubwa ya watanzania wameacha kufuatilia bunge kupitia luninga je kwa hali hii tunaenda wapi watanzania wenzangu ?
Kwani tulikuwa wapi mpaka uulize tunakoenda!!
 
Back
Top Bottom