Recent content by lusitu

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kilwa: Zaidi ya tani laki mbili za Ufuta zenye thamani ya zaidi ya Mil 570/=, hazijulikani zilipo

    Angalia vizuri takwimu zako Tani laki 2 unajua ukubwa wake?
  2. L

    JamiiForums Tanzania Huyu Polisi wa zamani Marehemu Mkama Sharp alikuwa na Kipaji gani ambacho Polisi wengi wa sasa hawana?

    Kitu pekee ninachomkumbuka huyu jamaa,nikiwa Mwanafunzi Mtendeni Shule ya msingi nilikuwa naja kupanda Basi kariakoo badala ya Posta kutokana na upendeleo wake kwa Wanafunzi
  3. L

    JamiiForums Tanzania Nimepata mshtuko mkubwa Ubungo Bus Terminal leo alfajiri!

    Huko unakokuita tandale kwa mfugambwa kumbuka wanaishi watu ambao tumeridhika na maisha yetu
  4. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa sehemu nzuri couple wanazoweza kwenda 3days 2night

    Uvinza utafundishwa namna ya kuogelea chumvini.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mh mkuu wa JKT,45 wa JKT ni wizi mtupu,wameachwa wenye vigezo

    Vigezo vilikuwa wenye vyeti vya kidato cha nne,sifa nyingine ni kwenye usahili suala la afya ni muhimu, nafasi ni chache waombaji ni wengi nakushauri dogo asikate Tamaa.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Shamba Linauzwa: Laki mbili na nusu kwa ekari moja, Nachingwea Mkoa wa Lindi.

    Hivi unauza shamba au pori naomba ufafanuzi kidogo Sent using Jamii Forums mobile app
  7. L

    JamiiForums Tanzania Shamba lenye Miti ya mbao linauzwa

    Umri Wake ukoje?
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ugomvi kati ya wafugaji na wakulima: Suluhisho la kudumu

    Ninachojua sera nzuri ya matumizi bora ya ardhi tunayo,tatizo lililopo ni wasimamizi wetu.Hivi inashindikana vipi kupata takwimu za mifugo waliopo katika kila Kijiji Nchini na uwezo wa kijiji husika kuwahudumia Mifugo hiyo,Hapa kinachohitajika ni kufanya maamuzi tu kuanzia ngazi ya Vijiji hadi...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Hatimaye mikopo yaanza kutolewa kwa watumishi wa umma

    Huku kwetu tunahita hiyo ni kujilipua
  10. L

    JamiiForums Tanzania Arsenal yaondolewa rasmi kwenye mbio za ubingwa EPL

    ukitaka kujua sikukuu ya Christmas ina karibia katika kipindi hiki we angalia mwenendo wa arsenali.
  11. L

    JamiiForums Tanzania TRA Ruangwa na Polisi Wanalazimisha Kukusanya Mapato kwa Kamata Kamata

    Kinahoshauriwa kwa sasa kama una Gari lako ni Bovu hulitumii, ni vizuri ukatoa taarifa kwenye ofisi za TRA hapo utapewa utaratibu,vinginevyo utaendelea kudaiwa kodi hata baada ya miaka mitano,na ikitokea wamekamata Gari yako nyingine watalishikilia mpaka ulipe Kodi unayodaiwa.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Habari Njema kwa wakulima wa korosho: Bei ya Korosho juu!

    Mkuu wale ambao tuling'oa mikorosho yetu kwa hasira ya kutopata malipo stahiki,tuna umia japo hatuchemi.
Back
Top Bottom