Tetesi: Mh mkuu wa JKT,45 wa JKT ni wizi mtupu,wameachwa wenye vigezo

Nachanganya vizur tu ila karudi kusoma vigezo acha unyumbu ,,,,wewjkt ni vigezo vyao na sio malalamiko yako alafu utambue jkt sio ajira acha unyumbuu
Nshakujua ww ni miongoni mwa makalio ya makinikia,hivi ukujua mm sjui km sio ajira fala ww
 
Yaani mengine n ya kumwachia Mungu tu. Mtu yuko Dar anapitishiwa kagera mchezo kwisha. Hatufiki kokote kwa akili hii mpaka yesu arudi
 
Jeshi linataka nidhamu kama huna nidhamu wewe uza mwili, tofauti na hapo labda uende ujiunge na Mungiki, Al Shabab, IS M 23 na wajinga wenzio kama hao sio JKT.

kama hapa uonaonesha ujinga wako moja kwa moja huko makambini si ungeenda kuharibu watu.
 
Hee!! miaka 28, alikuwa wapi siku zote? Huko tuendako hata hawa wamalawi wanaozagaa huku mitaani kama mbuzi wa albadiri wataingizwa jkt.
 
mleta uzi yupo sahihi sema kapagawa baada ya kukatwa,hawa mabwana requirement zao sio rafik wajaribu kulifanyia kazi hili suala la umri kwa graduate
 
Vigezo vilikuwa wenye vyeti vya kidato cha nne,sifa nyingine ni kwenye usahili suala la afya ni muhimu, nafasi ni chache waombaji ni wengi nakushauri dogo asikate Tamaa.
 
Back
Top Bottom