kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,574
hapo sawaAmekosea nahisi riba ni 18% na ndio the lowest katika mabenki.
hapo sawaAmekosea nahisi riba ni 18% na ndio the lowest katika mabenki.
Bank ya posta ni asilimia 17Amekosea nahisi riba ni 18% na ndio the lowest katika mabenki.
Asilimia 14 sio rahisi ni 21%Riba asilimia 14 NMB ya kweli hayo? Maana ilikua asilimia 21 mwezi wa saba na mwezi wa nane.
duhTatizo la serikali yetu kila mtu akilala anafikiria kesho akatoe tamko gani ili naye aonekane kuwa yupo busy. Maamuzi kawaida ni baada ya makubaliano katika kikao cha wahusika ili wote mnakuwa na jibu moja na utekelezaji wake unakuwa na ufanisai.
lakini leo mmooja atasema hili kesho mwingie anakanusha lililoongelewa jana!!!!!!!!!!!
ndio maana huwa kuna msemaji mkuu na sio kila mtu anafanya maamuzi yake.
Mfano kuna kiongozi mmoja alitoa tamko kuhusu wafanyabiashara ndogondogo maeneo yasiyo rasmi mfano pembeni yabarabara. Wakai watendaji wanatekeleza hili akaibuka mwingine na kusema waacheni waendelee msiwafukuze!!!!!!!!!!!! Hapa napata kigugumizi mwenye mamlaka ya kutoa maamko ni nani katika serikali hii ya awamu ya tano.
Na mimi ninataka kesho nikatoe tamko katika vyombo vya habari kuwa MWAKA HUU HAKUNA KUSHEREHEKEA KRISMASS NA MWAKA MPYA!!!!!!!!!!! NITASEMA SABABU NI ZA KIUSALAMA.
NAJUA WATENDAJI WATATEKELEZA TU NA KUPIGA MARUFUKU.
Kwa sababu kila mtu anaweza kutoa tamko.
Wamedata, yaani nakatwa halafu wanizuie kukopa hela yao Si wanachukua kila mweziwalishatoa KANUSHO
Kabla sijakomenti nimeona ngoja nijiridhishe, nimemtafuta mshkaji wa CRDB amenithibitishia kuwa wameanza kutoa, nakwenda ku-topup januaryvipi CRDB?
Riba asilimia 14 NMB ya kweli hayo? Maana ilikua asilimia 21 mwezi wa saba na mwezi wa nane.
Huku kwetu tunahita hiyo ni kujilipuangoja niende nmb nikatop up nahisi kuna dalili za kutumbuliwa