Recent content by LUSHEPELEJA

  1. LUSHEPELEJA

    JamiiForums Tanzania Ninauguliwa na baba watoto wangu

    Pole sana member mwenzetu, ingependeza kama ungeweka contact yako ili tuungane nawe katika magumu yaliyokupata,.
  2. LUSHEPELEJA

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kike unakomalia nichkue kilo mbili ya mdudu na ndiz juu,duuh

    Mambo gani tena hayo
  3. LUSHEPELEJA

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu nampenda lakini nashindwa kumwambia

    Shule gani mzee, asije akawa mke wangu
  4. LUSHEPELEJA

    JamiiForums Tanzania Nini hatma ya CHADEMA endapo viongozi,madiwani na wabunge wake watarejea CCM kabla ya 2020?

    Kwani kabla ya kwenda chadema walikuwepo wapi, warudi walikotoka, kitakuja chama kingine
  5. LUSHEPELEJA

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuachana na aina zote za kamari

    Pole mkuu hata mimi natafuta dawa, jana kanichania liverpool nilimpa double chance, iliniuma sana
  6. LUSHEPELEJA

    JamiiForums Tanzania Jumuiya yetu ya Kanisa Katoliki imevunjika sababu ya michango kuwa mingi

    Ila suala hilo hata mie linanikwaza sana, ndo linasababisha watu kuwa wapagani
  7. LUSHEPELEJA

    JamiiForums Tanzania Pikipiki (bodaboda) huchangia uke kutanuka

    Hiyo siyo sababu, maumbile hayo hayawezi kuathiriwa na pikipiki
  8. LUSHEPELEJA

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tujaribu hapa
  9. LUSHEPELEJA

    JamiiForums Tanzania Alizaa na binamu yake watoto wawili wote mazezeta.

    Usije ukaongea bila kujua
  10. LUSHEPELEJA

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya TCRA: tiGO ndo Mtandao unaotoza gharama kubwa zaidi

    Hiyo ni kweli, ukitaka kuhakikisha kusanya laini tano za watu tofauti, halafu chek ya "kwako tu" utapata uhakika wa anachokisema Jordan
  11. LUSHEPELEJA

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya TCRA: tiGO ndo Mtandao unaotoza gharama kubwa zaidi

    Hao voda wahuni sana, wengine wanatupiga pesa ndefu sana
  12. LUSHEPELEJA

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Disemba 2017

    Mbona tayar, nyinyi webzangu mnafanyia wapi
  13. LUSHEPELEJA

    JamiiForums Tanzania Wanawake msikate viuno kama ugomvi

    Yaa, pointi nzuri
  14. LUSHEPELEJA

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma shule ya Sekondari Bulima tukutane hapa

    Wanafunzi wenzangu tuliomo humu, naomba tubadilishane mawazo kidogo, tukumbushane, kuhusiana na shule yetu kongwe ya BULIMA SEC pia mimi binafsi bado nawakumbuka walimu wangu akina MSHEDEDE, MALIGANYA, IGALOGALO, NYANDA, YESU na wengine wengi, karibuni!!
Back
Top Bottom