Recent content by LUSHAGYA

  1. L

    JamiiForums Tanzania Anatafuta mpenzi huyu jamani...........

    Nipe namba yake ya simu.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mwalimu mwenzenu naonewa.bofya ufaidi

    Pole mwl mwenzangu,ila kusoma sio kukwepa mazingira ya pori.Mie miaka mitano iliyopita niliyakimbia lakini baada ya masomo nimehamishiwa porini zaidi pamoja na degree yangu.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Waziri wa elimu amuumbua Mbatia, awasilisha mtaala wa elimu nchini

    Great thinker ni ajabu mtu kama Mbatia asijue maana ya mtaala kama angejua maana ya mtaala asinge fikiria kutokuwepo kwa mtaala nchini.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Msaada bundle ya airtel

    Omba kwa kutumia simu kisha uhamishie kwenye modem.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kwa taratibu au Kwa haraka ..ni ipi nzuri.

    Watoto hucheza!
  6. L

    JamiiForums Tanzania Filamu ya Ray iitwayo 'Sister Marry' yapigwa marufuku na maaskofu

    Hii ina nipeleka kwa ze comedy kale kwa uzi ka kukopi na kupesti.Amekopi sister Marry ya kinageria wacha apate hasara.Alitoa talaka tatu wakamchunia.Leo kimenuka.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Redio Imaan Mnatuangusha aisee! Eti mnasema nini? Hebu toeni hoja yenu sasa...

    Nina miaka miwili sasa na soma comments hapa jf.Mimegundua inapojadiliwa masuala ya dini na siasa u great thinker upotea na ushabiki huchukua nafasi.unapotaka kujua dini na vyama vyo vya siasa subiri hapo.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Akina dada mnaijua tekniki hii?

    Ndibalema usisumbuke na hizo pini,hapa bikei kuna viroba(pombe za paketi)kutoka UG.ukipata vya buku katelelo mpaka asubuhi.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Dada zenu JIJINI...

    Hivi hawa wana tatizo gani,kama hawana leseni si wapelekwe TRA.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Wassira agonga mwamba sakata la uchinjaji nyama Mwanza!

    Duh!nchi yetu ina ning'inizwa motoni tukishangilia.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini idadi kubwa ya kabila la wakurya wanapenda kazi ya jeshi na polisi?

    Asante sana mura nyelele aliwaogopa kama ukoma.Hata babu yako Rweyongeza amekuwa mkuu wa chuo kikuu baaba ya mshashi mwenzako.salimu wamura wote walioko jeshi la mjukuu wetu Obama.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Tofauti kubwa kati ya chuo kikuu,chuo na taasisi

    Jamani msimshangae kuna watanzania wengi wa aina hii wanaofikiri elimu ni mazingira.Huyu msomi anafikiri mwalimu akitoka Dar akaja Dom anabadilika.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Benjamin Mkapa: Watanzania mtanikumbuka

    Mhhh!umekosa la kuandika?
  14. L

    JamiiForums Tanzania Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

    Huyu ni jembe la nguvu.CD zake mali hata ukikojolea.Kesho yake tuna download You tube.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mwanajamvi afariki Dunia.

    Rip wasaimon
Back
Top Bottom