Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

Status
Not open for further replies.
Anatumwa na kutumika, uzuri wa serikali yetu huwa inasubiri hadi litokee tatizo ndipo ichukue hatua
wakati fulani kunapokuwa na mvunjaji sheria lakini mwenye wafuasi wengi nyuma; inabidi hekma kubwa kushughulika naye vinginevyo unasababisha machafuko japo unachosimamia ni sheria.ndo maana hata silaa kule arusha alisema chadema wanataka waifanye nchi hii isitawalike (kosa miongoni mwa makosa mabaya kabisa!) lakini kwa kuwa ana wafuasi wengi nyuma yake; ikabidi serikali imuonye tu kama inambembeleza vile. hii katika mbinu za kushughulikia migogoro inajulikana kama "AVOIDANCE BY DENIAL!" (ina faida zake na hasara zake.) .unakumbuka Serikali ya jamaica ilivyojaribu kumkamata muuza madawa mkubwa nchini humo 2010 (bwana Dudus) walivyo pata kasheshe ! ndo hivyo bwana.

 
Hana Kazi zaidi ya kukashifu vya wengine.Watu wako busy wanalima ,wanarusha ndege toleo jipya angani,wanajenga viwanda n.k yeye anapeperusha majungu na ugomvi siku zao zinahesabika.Hakuna dini inayoruhusu mtu mwingine kumkashifu mwenzie.
 
huyu jamaa anachochea udini wazi wazi na wala hatuon akichukuliwa hatua kama unataka kumsikia tafuta cd zake uzisike yani hata sijui lengo kuu lake nini kwa taifa hili

Ametumwa nasystem huyo, maana katika hali ya kawaidaangekuwa ametiwa mbaroni
 
Serikali ilikuwa inavumilia.., maadam imesema sasa uvumilivu basi, ngoja tuwape muda....
 
kafiri ni mpinga dini ya mungu.naona wewe una tatizo .muogope mungu

Unamaanisha nini unaposema dini ya Mungu?

by the way Mungu yupi?
( i think u need to be more specific)
Kwa sababu Mungu sio Mmoja na Dini zipo nyingi.
 
jamaa anajiamini mana ukisikiliza cd zake anasema "kikwete hana ubavu wa kufanya lolote hana ubavu anajidai dai tu ngoja nitamshughulikia"hayo ni miongon mwa maneno ya kumkejeli baba liz ktk cd hyo yan nliisikiliza ile cd nkajiuliza maswali mengi sana kuhusu huyu mtu.
 
Huyu ni jembe la nguvu.CD zake mali hata ukikojolea.Kesho yake tuna download You tube.

ukiweka ushabiki pemben utaujua ubaya wa maneno ya huyo sheikh vinginevyo utabakia hivyo hivyo mungu akusaidie kwa kweli.
 
naona wagala mnalaumu tu hamtuambii cd zake zinazungumzia ki2 gan ebu 2wekeni wazi
 
kwel selikal ihakikishe udin unaisha kwa kuondoa ubaguzi na upendeleo kwa dini moja la sivyo ...
 
Huyu ni gaidi kama ilivyo kwa shehe mukudamu Swalehe,Shehe Ponda Issa Ponda,Shehe Farid na Shehe Mselemi!
 
jarbu kuchunguza sector zote alafu unimbie wapi wanaongoza kuwa weng kati ya makafir na waislam?
 
tukutuku hawa unawaita magaid kwa kuwa wanatetea haki za wanyonge? lakini sikushangai maana historia inaonyesha mandela aliitwa gaid na wazungu kisa alikuwa anatetea haki, na bwana yesu walitaka kumuua kwa sababu alisema kwel. wewe utawachukia lakin sie 2nawaombea kwa Rahman
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom