Hilo suala lilitokea wakati chadema ipo madarakani au mamvi kama unavyomwita alikuwa rais au Tbs ni ya ukawa au mdhibiti wa ubora wa madawa yupo upinzani.fikiri pakubwa ndugu acha ushabiki
Hata Mimi kuna maharage niliwahi kutumia yana rangi ya damu ya Mzee kipindi nipo mafinga ila ni makubwa kwa punje yanatoa rojo nzito yakiiva na matamu sana sijajua yanaitwaje wala sjawahi yaona tena
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.