Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 20,236
- 24,615
Kilo moja mwaka ilikuwa 2,800........mwaka huu inaweza kufika 3,000na bei yake kwa gunia moja ni sh ngapi mkuu?
Kilo moja mwaka ilikuwa 2,800........mwaka huu inaweza kufika 3,000na bei yake kwa gunia moja ni sh ngapi mkuu?
wana jamii nataka kulima mbaazi Morogoro sasa nahitaji information juu ya kilimo hiki naomba aanae weza kujua ni wapi nitapata maelekezo sahihi juu ya kilimo hiki naomba anisaidie
Kilo ni 2,800 hadi 3,000/ kila kitu heribei zao zinasimama sh ngapi kwa kilo mkuu?
Mbaazi inachukua muda gani kukuaMkuu mimi najua kwa Songea! Gharama za acre 10 ni kama 3mil (kila kitu hapo)...ukivuna utapata 40m....(Nov hadi June).....
Soma bandiko hapo juu mbona unauliza kitu kimeandikwa? Soma juu hapo! Acheni uvivu watanzania!!Mbaazi inachukua muda gani kukua
HAPAAAMkuu mimi najua kwa Songea! Gharama za acre 10 ni kama 3mil (kila kitu hapo)...ukivuna utapata 40m....(Nov hadi June).....
Etiiii?????HAPAAA
YEAH BROO!!Etiiii?????
Kuanzia NOv/Dec ndio muda wa kupanda! Tafuta mbegu nzuri wazoefu wanazijua....ziko mbegu aina nyingi sana! Nenda maduka ya pembejeo watakushauri! Inategemea unalimia wapi! Kila la kheriYEAH BROO!!
MM NTAKA KULIMA HII KITU TAYARI NIKO NA HEKA 10, NASUBIRIA MUDA USEME
Mkuu nakushauri ukilima usichanganye na maindi,utapata gunia chache za mbaaziNimekupata mkuu, well mie nipo na interest na mbaazi tu mahindi hapana kwa jinsi ulivyosema hapo mie naona kuna ongezeko si chini ya magunia matatu mkuu, na ikiwa chini ni magunia matano kwa maana hiyo ili upate magunia mengi lazima ulime ekari nyingi! ahsante kwa mchango wako mkuu
NA JE UKICHANGANYA MBAAZI NA ALIZETI, VP HAPO MATOKEO YAKE! !?Mkuu nakushauri ukilima usichanganye na maindi,utapata gunia chache za mbaazi
naomba unipatie namba za hao wanunuzihizo zinanunuliwa sana na wahindi wa kampuni ya TATA msimu ni mwez wa sita na wasaba mara nyingi kama wataka dalali haya kama wataka direct yote sawa lakini wengi wanatumia dalali ili kuepusha usumbufu na kuwa na uhakika . ntakupa namba za watu kama ukihitaji ( EXPORT,AY,AFRISIAN) Baadhi ya kampuni zinazo nunua
Kuweni makini, mbaazi imeshuka sana bei..
Mbona kuna tetesi kuwa soko limepatikana India na Dubai?Habari wanakilimo wenzangu,
Mwenye ushauri na soko la mbaazi na wanunuzi wa bei nzuri wa hili zao,Shamba langu lipo morogoro.
huku songea tumeamua kulishia mbuzii, kilo sh 100?????Mbona kuna tetesi kuwa soko limepatikana India na Dubai?
Ccm oyeeeehuku songea tumeamua kulishia mbuzii, kilo sh 100?????