Recent content by LUQMANM

  1. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Waislam

    Ushauri wako nenda nao sisi tunataka mahakama ya kadh basi
  2. L

    JamiiForums Tanzania UKAWA kusambaratika Kesho

    Swala la mahakama ya kadh ni swala la msingi kwenye katiba mpya tumelizungumzia sana wala haliusiani na udini msifanye mambo yaonekane makubwa wakati madogo hayo ni maoni ya watu tumetoa na tuna haki ya kutoa maoni yetu kwenye katiba hata wewe kama unamaoni ungetoa sio upinge maoni ya watu walio...
  3. L

    JamiiForums Tanzania How FBME Bank Has Been Used to Facilitate or Promote Money Laundering in Tanzania...

    Tutumieni akili kidogo sio kisa wamesema wazungu na sisi tukubali kwa anejua uchuguzi na udhahidi huwezi kuziamini hizo report za USA utakuwa hauna akili ama uataamini katika report yao ni wapi wametoa ushahidi wa phisical kwamba wamekamata hizo hrla chafu hata moja hakuna report yao wamechukua...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Nilipe changu usepe

    hiyo ni kazi kama kazi nyingine kama wateja wangekuwa hawapo wasinge jiuza inamaana wateja wapo na biashara inalipa ndio maan hata kipindi cha mvua bado wapo kwenye biashara serikali inakosa mapato mengi sana
  5. L

    JamiiForums Tanzania Huu ndio urembo wa mwanamke wa kiafrika halisi

    mafuta ya wanyama utakimbia ukipisha nae
  6. L

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

    Kujiajiri ndio mpango mzima
  7. L

    JamiiForums Tanzania Movie Reviews

    24 series is the best
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anaenda Ughaibuni for good

    kuwa muwazi kwake utajua ukweli
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mkoko mpya wa Agnes Masogange

    yeleuwiiiiii
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya viongozi wa Tanzania

    Ni vizuri kujua fedha zetu kama walipa kodi zinatumikaje!
Back
Top Bottom