UKAWA kusambaratika Kesho

UKAWA kusambaratika Kesho

Bora katiba itakuwa nzuri sana si mlikuwa mnachekavna kima mtavuna mabua. Ila cuf wamesema wao tatizo lao sio mahakama ya kadhi maana kule znz ipo wao ni mamlaka kamili. Checheme watoe basi
 
Mimi ninaomba niulize swali kwa ndugu zangu waislam......

Hasa kwa viongozi wa dini hii

ni kweli watakuwa tayari tuanze kuwakata mikono waislam watakaobainika ni wezi?

Na nani ataajiriwa kwa kazi hyo?

Maana nijuavyo mimi ukiiba unakatwa mkono.....

Ukizini unapigwa mawe hadi kufa.... Sasa hapa ndo tutaanza kuwaumbua viongozi wa dini wanaozini tuanze kuwapiga wao mawe tuone kama watakuwa tayari

hahaahahahhaaaaaaaa.....
 
Mbona uzi haujitoshelezi,hii ni hoja very sensitive,lakini inaletwa bila maelezo ya kina,aieleweki kama kuna ukweli nndani yake au ni porojo za kwenye vijiwe vya pweza.
Fafanua zaidi.
Nimefurahi kuona wewe ni mmoja wa wanaojua kusoma between lines. Watu wengine wanatoa mapovu tu bila kutafakari. Mjadala bado unaendelea, na kila mmojaanayo hakiya kutoa maoniyake, sasa maonihayohaimaanishindio final
 
Wakiweka mahakama yakiislamu tutaweka mahakama yawakristo. Muislam akinishtaki msikitini mimi nitasubiri kuhukumiwa kanisani hataniona msikitini ng'o.

Ufinyu wa akili tu huo....

Umeskia lini mahakama ya kadhi ikihukumu wasoukuwa waislam? Mahakama ya kadhi inadeal na mambo ya urithi na ndoa, soma sheria za kiislam kabla hujawa na mawazo mgando. Full islamic sharia hairuhusiwi hata katika uislam kuwa implemented kama hakuna Khalifa! Usisikie eti Iran wanatumia sheria za kiislam au saudi ukachukuwa example, sheria zinasimamiwa na Khalifa na sio mfalme au rais. Ondoa shaka, na Khalifa Baghdaad asikutishe, kiislam ukhalifa wake ni baatil
 
Nafahamu yote hayo. Hakuna haja yakunihukumu wakati hujui lengo langu lakuandika hivyo.
 
Kwani mahakama zilizopo hazitoshi kusimamia mirath na ndoa?
 
Ndugu zangu wana jf, hatimaye nyundo ya kuwasambaratisha UKAWA imechongwa.nayo ni kuingiza suala la KADHI kwenye katiba mpya. Ukawa mlikuwa na plan b? Kazi kwenu

Baada miaka miwili hivi Kumbukumbu lenu halita kuwepo katika vichwa vya watanzania. Hata mazuri mliowafanyia wananchi tangu 61 hayatakumbukwa kamwe.
 
Mimi ninaomba niulize swali kwa ndugu zangu waislam......

Hasa kwa viongozi wa dini hii

ni kweli watakuwa tayari tuanze kuwakata mikono waislam watakaobainika ni wezi?

Na nani ataajiriwa kwa kazi hyo?

Maana nijuavyo mimi ukiiba unakatwa mkono.....

Ukizini unapigwa mawe hadi kufa.... Sasa hapa ndo tutaanza kuwaumbua viongozi wa dini wanaozini tuanze kuwapiga wao mawe tuone kama watakuwa tayari

hahaahahahhaaaaaaaa.....

Tutakupa wewe kazi ya kukata watu mikono (Wezi). Unaonaje?
 
Ufinyu wa akili tu huo....

Umeskia lini mahakama ya kadhi ikihukumu wasoukuwa waislam? Mahakama ya kadhi inadeal na mambo ya urithi na ndoa, soma sheria za kiislam kabla hujawa na mawazo mgando. Full islamic sharia hairuhusiwi hata katika uislam kuwa implemented kama hakuna Khalifa! Usisikie eti Iran wanatumia sheria za kiislam au saudi ukachukuwa example, sheria zinasimamiwa na Khalifa na sio mfalme au rais. Ondoa shaka, na Khalifa Baghdaad asikutishe, kiislam ukhalifa wake ni baatil

Tumia akili na ww... Kadhi ikipitishwa na dini zingine zitahitaji zipiyishe za kwao.. Haotatosha na madai mengine yatakuja. Hapo ndo myifuano utakapoanza.... Kama ni mirathi na ndoa hadi sasa hakuna anayewazuia kuzisolve kwa sheria zenu.. Ila nyie mnataka kwenda mbali zaidi.. Kuweka katika katiba ya wananchi huku mkisahau kuwa katiba ile inahusisha wakristo na waislam.. Hivyo kuweka jambo mahsus la dini moja pekee ni kuleta mparaganyiko na sintofahamu.. Tumia akili...

KWANZA HAMNA UTASHI WA KUSOLVE MATATIZO YA NDOA NA MIRATHI NA SIDHANI KAMA MMEWAHI KUFANIKISHA KUSOLVE HT MGOGORO MMOJA WA MIRATHI NA NDOA

NA NDYO MANA KESI ZENU NYINGI WENGI WANAENDA KUTAFUTA HAKI KTK MAHAKAMA ZA JAMHURI.....

LABDA TUSEME NJAA TU ZA VIONGOZ WENU NDO MANA WANATAKA HZO MAHAKAMA ZA KADHI ILIHALI WAKIJUA KUWA HAWATAWEZA KUSOLVE MIGOGORO YOYOTE
 
Swala la mahakama ya kadh ni swala la msingi kwenye katiba mpya tumelizungumzia sana wala haliusiani na udini msifanye mambo yaonekane makubwa wakati madogo hayo ni maoni ya watu tumetoa na tuna haki ya kutoa maoni yetu kwenye katiba hata wewe kama unamaoni ungetoa sio upinge maoni ya watu walio toa kuhusu mahakama ya kadh usiongee tu kama hujui tafuta maana ya mahakama hiyo inafaida gani ndio useme na ningeshauri kama hiyo mahakama haikuhusu basi kaa kimya usije kuleta uchochezi wa dini.
 
swala la mahakama ya kadh ni swala la msingi kwenye katiba mpya tumelizungumzia sana wala haliusiani na udini msifanye mambo yaonekane makubwa wakati madogo hayo ni maoni ya watu tumetoa na tuna haki ya kutoa maoni yetu kwenye katiba hata wewe kama unamaoni ungetoa sio upinge maoni ya watu walio toa kuhusu mahakama ya kadh usiongee tu kama hujui tafuta maana ya mahakama hiyo inafaida gani ndio useme na ningeshauri kama hiyo mahakama haikuhusu basi kaa kimya usije kuleta uchochezi wa dini.

haina umuhimu kwa taifa letu.. Mkitaka nenden uarabuni mkahukumiane
 
Wakiweka mahakama yakiislamu tutaweka mahakama yawakristo. Muislam akinishtaki msikitini mimi nitasubiri kuhukumiwa kanisani hataniona msikitini ng'o.

Jazba zimmepanda hata unachoongea hukijui.una umri gani?
 
Back
Top Bottom